technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,648
- 58,455
- Thread starter
- #21
Hakuna cha mapinduzi wala nini subir atawazibiti tu!!!hahaaaaaaaaa ikifuatiwa na mapinduzi ya aina yake
Hakuna cha mapinduzi wala nini subir atawazibiti tu!!!hahaaaaaaaaa ikifuatiwa na mapinduzi ya aina yake
Utabiri wa kitoto kutoka kwa mtu mwenye hangover ya mataputapu. [emoji12] [emoji12]Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!
1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!
2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!
3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!
Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?
Time will tell!!!
Duuuuh wasubirie wafie chama waje4. Mbowe kurudisha hela alizoripotiwa akitorosha nje ya nchi siku chache baada ya kuuza chama.
Yaweza kiwaumerithi mikoba ya shekh Yahaya nini mkuu technically?
Usiwe na haraka mkuuNiliposoma tittle Muda Mfupi ujao nikadhani ni ndani ya SAA 12zijazo....kumbe miezi..!!!!!zaidi ya yote hakuna utabiri wowote hapa..
Yaweza kuwaSamahani kumbe wewe ndio mbadala wa shkh. Yahaya?
Kama akili yako ilivyoshikwa??Utabiri wa kitoto kutoka kwa mtu mwenye hangover ya mataputapu. [emoji12] [emoji12]
Lizaboni kuwa DC Namanyere!Hahahahahaaaaa. ASP
Item No 1 & No 2 ziko wazi kabisa.Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!
1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!
2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!
3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!
Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?
Time will tell!!!
Haaah mkuu!!! Mi sijasemaLizaboni kuwa DC Namanyere!
Ndo nini mkuu?Walembwa mwitu NA panyaroad wa Sinza waliokula helazetu miakayote kurudisha pesa zetu
LOCKLoki ndoto nini??
Haaah mkuu nafasi iko wazi kinondoni!!!FaizaFoxy kuwa DC Kiembe Samaki!
Nilijua 'WANZUKI' zilipigwa marufuku kumbe badoWana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!