Hahahaa!, Hamna mkuu ila kila mtu alikuwa anameza mate tu!hamkugongea ngono.maana wabongo
Hahahaa!, Hamna mkuu ila kila mtu alikuwa anameza mate tu!hamkugongea ngono.maana wabongo
Ha ha ha na lips nyekunduu, kuna siku tulimtolea macho had akajishtukiaAisee, Mimi ndio ile iliyoenda Mbeya. Wenzetu wanasoma wakiwa na age ndogo sana....sisi tukiwa na 25+ ndio tunaanza kutumikia ajira, hatari sana!.. Mtoto kama yule kutuelekeza sisi watu wazima hahahaa!, na hipsi zake
Hahahaha unaanzaje labda kwa mfano???hamkugongea ngono.maana wabongo
Hata mie nilikuwa sichoki kumuangalia, namba aliyokuwa akitumia hapa nchini ikawa haipatikani tena....hahaha, fursa ilikimbiaHa ha ha na lips nyekunduu, kuna siku tulimtolea macho had akajishtukia
Hivi sio coordinator mzawa wa Musoma ndio alikimbia nazo?...nilisikiaga hiyo kituHalaf kuna co-ordinator wetu akapita na Tablet zote baada ya project aiseeee sisi wabongo bhana noma sana, akachange na namba kabisaaa
Ni wetu wa Arusha mkuu, yule jamaa alikuwa ninja, yaani alizikusanya zote,akahakikisha pesa tumelipwa halaf akapita hvHivi sio coordinator mzawa wa Musoma ndio alikimbia nazo?...nilisikiaga hiyo kitu
Ni wetu wa Arusha mkuu, yule jamaa alikuwa ninja, yaani alizikusanya zote,akahakikisha pesa tumelipwa halaf akapita hv
Dah!, walioenda Arusha karibia wote walikuwa marafiki.....nitakuwa namjua huyo. Mm yule wakwangu aliwarudishia.....jamaa alikuwa mstaarabu sanaNi wetu wa Arusha mkuu, yule jamaa alikuwa ninja, yaani alizikusanya zote,akahakikisha pesa tumelipwa halaf akapita hv
Yeah wanakurudishia nauli baada ya trainingwameniambia niende kwenye training ya siku mbill dar.je nauli yangu ya kunitoa huku nilipo to dar watanirudishia?
Brand trackerResearch ya nini mlifanya?
Hivi ofisi zao ziko wapi ili na sisi twende tupeleke CV zetu palehawa jamaa wameniita kwenye project yao flani kule arusha lkn hawajaniambia watatoa sh ngapi.kuna mwenye idea na hizi reserch firms huwa wamatoa sh ngapi?
Nilifanya nao mwaka juzi Mbeya...kazi ni Ku collect data kwa kutumia Tablets 'GPS'... Kazi ya mwezi mmoja, niliachiwa tablet miezi sita baadae nikapigiwa simu kwamba wanaihitaji.....wakanifata Dom wakaniachia kama laki mbili then wakachukua chao....kazi yao ni ya luxury sana kama huta complicate.....usiwe muongo maana coordinates zinaaibisha. Mm niliitwa nikafanya interview Dar Oysterbay jioni nikaanza kazi wakatupeleka Sinza kwa mafunzo ya wiki moja then tukatawanywa mikoani kufanya kazi....wao walibaki Dar hotelini sisi mikoani, kila ukimaliza kazi jioni una sinc results then kesho yake unaendelea na kazi....tablet zina database imesetiwa tayari 'questionnaires' kwa kila eneo unalokusanya data. Kama huna kazi we nenda wanalipa vizuri tu, kwa USD.
kwa hiyo ili waonekane wana pesa walitakiwa wafanyie wapi?Training kufanyika Sinza, hao hawana ela
Perry mambo vipi?kwa hiyo ili waonekane wana pesa walitakiwa wafanyie wapi?
Nakumbuka mwaka Jana kabla sijaacha kazi mahali Fulani, training zao zilikuwa zinafanyika Snow crest hotel Arusha, Mara Gold crest Mwz, Nashera Moro, etc ulikuwa ni mradi wa serikali magu akaingilia kati akaamuru semina na mafunzo yote yawe yanafanyika ofisini kwa kumbi za serikali....Mara ya mwisho kabla sijaacha kazi..tulienda fanyia ukumbini kwa mkuu wa mkoa mwanza ile semina....lakini pesa zikalipwa kiwango kilekile!..........huyu jamaa yetu naomba atujibu kwanza mm nilipotezea sasa nimepata nguvu upya....na pesa zilikuwa ndefu tu..kwa hiyo ili waonekane wana pesa walitakiwa wafanyie wapi?
Shwari mkuu..upo?Perry mambo vipi?