Kuna anaewafahamu sagaci research?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
8,911
16,806
Hawa jamaa wameniita kwenye project yao flani kule arusha lakini hawajaniambia watatoa sh ngapi. kuna mwenye idea na hizi reserch firms huwa wamatoa sh ngapi?
 
Maswali mengine yanakera duu wee upite interview zote written plus oral usijue tu mshahara kwanza palikuwa na kipengele cha expects! How much do you expect to pay you? Nadhani ulijibu au ndio wale baba kanituma nini???all of all pesa yoyote kachukue ufanye kazi
 
Me nijuavyo research firms nyingi za kibongo huwa zinatoa elfu 80 per day.so hiyo yako kama ni ya wazungu tegemea kulipwa kati ya laki moja to laki na ishirini per day.afu mkimaliza project huwa kuna mkono wa asante pia,so unaweza ukatoka na pesa nzuri tu kama utakua sio mtu wa matumizi mengi.
 
Sagaci research nawajua vzur sana, yaani sana! Pesa yao sio ndogo sana, na kazi zao ni Marketing research kupitia Questionnaires, kama huna moyo huwezi fanya. Kwanza hawajasajiliwa kihalali, halaf pia hawana vitambulisho vya maana kwa hyo kuna vijiji mnaenda kufanya kazi mkiwa roho mkononi

Kwa siku: Wanalipa 12,500 kama salary ambayo utachukua baada ya project
8,000 ya chakula na vinywaji kwa siku mnapewa asubuh kabla ya kazi,
15,000 ya kulala kama mkifanya kazi ya mbali na Arusha mjini
 
hata synovate wanawashinda yaani?pesa gani hiyo wanatoa?
 
Nilifanya nao mwaka juzi Mbeya...kazi ni Ku collect data kwa kutumia Tablets 'GPS'... Kazi ya mwezi mmoja, niliachiwa tablet miezi sita baadae nikapigiwa simu kwamba wanaihitaji.....wakanifata Dom wakaniachia kama laki mbili then wakachukua chao....kazi yao ni ya luxury sana kama huta complicate.....usiwe muongo maana coordinates zinaaibisha. Mm niliitwa nikafanya interview Dar Oysterbay jioni nikaanza kazi wakatupeleka Sinza kwa mafunzo ya wiki moja then tukatawanywa mikoani kufanya kazi....wao walibaki Dar hotelini sisi mikoani, kila ukimaliza kazi jioni una sinc results then kesho yake unaendelea na kazi....tablet zina database imesetiwa tayari 'questionnaires' kwa kila eneo unalokusanya data. Kama huna kazi we nenda wanalipa vizuri tu, kwa USD.
 
training wanalipa bei gan mkuu?
 
Unanikumbusha City Style Hotel pale Sinza mkuu na yule mzungu Janeck na bwana Mcharo
 
Sagaci nawafahamu sana, niliwahi fanya nao kazi kipindi cha nyuma mwaka 2012 nakumbuka kipindi hiko ndio walikua wanaingia Tanzania walikua wanalipa vibaya sana nakumbuka ilikua kama elfu 10 tu kwa siku hiyo ndio mshahara na kulikua hakuna cha ziada, nikaachana nao ila nadhani kwa sasa watakua wameboresha sana maana nasikia hadi wana ofisi Tanzania.
 
Ofisi wanayo kule msasani ila ipo kimapicha picha bado
 
training wanalipa bei gan mkuu?
Kuna jamaa nimem text kwenye PM, mwambie aweke hapa zile figure nilizompa. Ila kwa ufupi training wanachukua hotel nyie mkifika mnaambiwa mle mnywe muwezavyo kabla na baada ya interview gharama zote wanalipa wao, piga mibia uwezavyo....ila walikuwa wanatoa elfu 30 ya kulala. Mambo mengine yote palepale hotelini...then training ikiisha ....rejea kwa jamaa nimempa ABCs
 
Unanikumbusha City Style Hotel pale Sinza mkuu na yule mzungu Janeck na bwana Mcharo
Kale ka faransa kalikuwa kazuri sana, umbo kama la mtanzania chura huyo na kasura kake, alafu kalikuwa under 18yrs. Nilikuwa napenda sana kukaangalia........kumbe tulikuwa wote eeeh!. Ranah namkumbuka sana
 
Hao ndo wenzetu bhana, Ranah alikuwa chini ya 18 ila ana elimu kubwa sana aisee, route za Egypt kawaida aisee! Mm nilikuwa ile team ya Arusha ile mkuu
 
Aisee, Mimi ndio ile iliyoenda Mbeya. Wenzetu wanasoma wakiwa na age ndogo sana....sisi tukiwa na 25+ ndio tunaanza kutumikia ajira, hatari sana!.. Mtoto kama yule kutuelekeza sisi watu wazima hahahaa!, na hipsi zake
 
hamkugongea ngono.maana wabongo
 
Back
Top Bottom