Kuna anaewafahamu sagaci research?

]
Ofisi zao zipo Msasani, ila sana sana wanapatikana zaidi kwa namba za cm, ofisini utakuta wazungu tu ambao watakudirect kwa jamaa anaitwa mcharo, +255 713 967 652
Hivi ofisi zao ziko wapi ili na sisi twende tupeleke CV zetu pale
Ofisi zao zipo Msasani, ila sana sana wanapatikana zaidi kwa namba za cm, ofisini utakuta wazungu tu ambao watakudirect kwa jamaa anaitwa mcharo,
Namba yake hyo +255 713 967 652
 
Hawa jamaa walisababisha tukagombana na rafiki yangu.yeye akiwa coordinator akataka kuchukua tablet zetu bila kabla hatujalipwa na hapo tulikuwa na miezi mitatu tangu tumalize kazi
 
Back
Top Bottom