Si kwamba huna haja ya kuthibitisha.Punguza ujuaji,
Basi nasema MUNGU yupo,
Sina haja ya kuthibitisha lolote,
Kaa na imani yako, na mimi nakaa na imani yangu,
"Nimetaka mungu" maana yake nini?Kwa hiyo kwa akili yako kusema mimi siamini hivyo nimetaka mungu?
Ndugu mfarisayo utajua hujuiKatika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani?
Inakuwaje Mungu anakuwa na hasira na chuki kama za mwanadamu? Wengine wanaenda mbali na kusema tuombe Mungu aepushe majanga hapa kwetu, Je huyu Mungu ni mpaka aombwe ndo aepushe majanga?
kazi yake ni ipi haswa kwenye maisha ya wanadamu? kwanini huwa anasubiri aombwe na kubembelezwa?
Ukisoma vitabu vitakatifu hamna janga jipya chini ya jua ,kila kinachotokea duniani kinasababuKatika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani?
Inakuwaje Mungu anakuwa na hasira na chuki kama za mwanadamu? Wengine wanaenda mbali na kusema tuombe Mungu aepushe majanga hapa kwetu, Je huyu Mungu ni mpaka aombwe ndo aepushe majanga?
kazi yake ni ipi haswa kwenye maisha ya wanadamu? kwanini huwa anasubiri aombwe na kubembelezwa?
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕Si kwamba huna haja ya kuthibitisha.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Silly"Nimetaka mungu" maana yake nini?
What is silly? You wringing childish folderol?Silly
Childish folderol?What is silly? You wringing childish folderol?
You have neither explained what is silly, nor proved God exists.Childish folderol?
What an exquisitely pompous way of advertising an impoverished intellect. You’re dressing up intellectual vacuity in thesaurus scented jargon and apparently hoping nobody notices there’s neither substance nor coherence underneath. Your vocabulary may be elaborate, but your reasoning remains spectacularly pedestrian.
And what, precisely, makes you so consequential that I should inconvenience myself to accommodate your whims? Do not arrogate to yourself a stature you have neither earned nor been accorded. Your opinions are not imperatives, and your existence is certainly not the benchmark by which I calibrate my choices. As I said, do not mistake your cacophony of conceit for legitimate authority you possess neither the jurisdiction nor the significance you seem so desperately determined to imagine.You have neither explained what is silly, nor proved God exists.
You are already inconveniencing and contradicting yourself by accommodating me with your replies, you semi-literate fool.And what, precisely, makes you so consequential that I should inconvenience myself to accommodate your whims? Do not arrogate to yourself a stature you have neither earned nor been accorded. Your opinions are not imperatives, and your existence is certainly not the benchmark by which I calibrate my choices. As I said, do not mistake your cacophony of conceit for legitimate authority you possess neither the jurisdiction nor the significance you seem so desperately determined to imagine.
wazungu na wa asia hua wanatushangaa sana kwenye baadhi ya mamboUkisoma vitabu vitakatifu hamna janga jipya chini ya jua ,kila kinachotokea duniani kinasababu
Your desperate thesaurus recital is almost touching. You’ve mistaken verbosity for intelligence, condescension for sophistication, and the indiscriminate deployment of polysyllabic vocabulary for evidence of intellectual superiority.You are already inconveniencing and contradicting yourself by accommodating me with your replies, you semi-literate fool.
Moreover, you do not posses the wit to comprehend abstract thoughts.
That is why you are reduced to see this as a personal battle between me and you.
I do not present my opinions, I present logically sound arguments, ones you cannot comprehend, let alone sufficiently retort.
That this could be a battle of ideas, for all to learn from, and not an egotistic contest between me and you, escapes you with relativistic velocity.
You are not capable of getting that through your obtuse head.
Vita ya uthibitisho haijawahi kua nyepesi jukwaaniYour desperate thesaurus recital is almost touching. You’ve mistaken verbosity for intelligence, condescension for sophistication, and the indiscriminate deployment of polysyllabic vocabulary for evidence of intellectual superiority.
You accuse me of being semi-literate while producing a pompous torrent of self-congratulation masquerading as an argument. That is not intellectual rigor, it is verbal peacocking.
And spare me the sermon about abstract thoughts. Abstract thinking requires clarity, coherence, and the ability to distinguish a substantive argument from one’s own inflated self-image. You have demonstrated considerably more enthusiasm for sounding profound than for actually being profound.
You claim this is a battle of ideas, yet your entire response reeks of wounded ego. If your argument were genuinely as formidable as you advertise, you wouldn’t need to repeatedly announce your intellectual superiority like an insecure lecturer begging for applause.
So by all means, continue adorning your empty assertions with ornamental vocabulary. A thesaurus can manufacture complexity, but it cannot manufacture intelligence and your verbosity has done a remarkably poor job of concealing the deficit.
Lazima binadam aadhibiwe duniani na siku ya kiama. Ishi maisha ya kumpendeza Mungu, dunia ni mali yake usiiharibu na kuichafua.Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani?
Inakuwaje Mungu anakuwa na hasira na chuki kama za mwanadamu? Wengine wanaenda mbali na kusema tuombe Mungu aepushe majanga hapa kwetu, Je huyu Mungu ni mpaka aombwe ndo aepushe majanga?
kazi yake ni ipi haswa kwenye maisha ya wanadamu? kwanini huwa anasubiri aombwe na kubembelezwa?
😄Vita ya uthibitisho haijawahi kua nyepesi jukwaani