Kumtetea Mungu ni kazi sana!

Kumtetea Mungu ni kazi sana!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,379
Reaction score
37,962
Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani?

Inakuwaje Mungu anakuwa na hasira na chuki kama za mwanadamu? Wengine wanaenda mbali na kusema tuombe Mungu aepushe majanga hapa kwetu, Je huyu Mungu ni mpaka aombwe ndo aepushe majanga?

kazi yake ni ipi haswa kwenye maisha ya wanadamu? kwanini huwa anasubiri aombwe na kubembelezwa?
 
Majanga na Maafa ya asili au hata yasiyo ya asili hutokea Kila mwaka na kuua maelfu ya watu Duniani kote.

Siyo kwamba kisa msikiti umechomwa Huko Nepal ndiyo maafa hayo yametokea,
ni majanga ya asili tu ambayo hutokee Kila mwaka Duniani kote.
 
Ukishaelewa tu kwamba Mungu anawekwa pale ambapo hatuwezi kulifafanua jambo, hutosumbuka.

Hizi sentensi mbili; "Mungu atuepushe." na "Ninaogopa, sina cha kufanya." hazina tofauti kabisa kimsingi! Zote zinaashiria kushtushwa.

Usiangalie mtu kasema nini tu, fuatilia pia ni kwanini hasa kasema hivyo.
 
Kwanza ,hakuna uhusiano na adhabu ya kuharibu na kifo, vifo vinatokea kila siku ..Unachotakiwa kujua ni kwamba kuna sababu elfu moja ya binadamu kufa ,na kifo kipo ...Ukitaka kujua Mungu yupo au hayupo ,basi hao hawakutaka kufa ila kuna kitu kimefanya hivyo ,wameishi hapo miaka na miaka ilikuwa ni sehemu salama kwao ,ila bado ni dhaifu wamekufa wakiwa na ndoto zao wala hakuna aliyepanga yatokee ili ni Mungu Mkuu.

Binadamu ni dhaifu kiasi hajui kesho yake ,anawezaje kukataa uwepo wa Mungu?
 
Kwahiyo wameuwawa?
 
Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani?

Inakuwaje Mungu anakuwa na hasira na chuki kama za mwanadamu? Wengine wanaenda mbali na kusema tuombe Mungu aepushe majanga hapa kwetu, Je huyu Mungu ni mpaka aombwe ndo aepushe majanga?

kazi yake ni ipi haswa kwenye maisha ya wanadamu? kwanini huwa anasubiri aombwe na kubembelezwa?
Hujawahi kusikia usemi wa "Malipo ni hapa hapa duniani"
 
Umeongea kama vile Mungu ndiye anahitaji msaada wetu bali sivyo unavyodhani, Mungu hautaki msaada wa utetezi wako Mungu huwachukiq watenda dhambi, Mungu anataka unyofu ,amfuatae atapata uzima wa milele
 
Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani?

Inakuwaje Mungu anakuwa na hasira na chuki kama za mwanadamu? Wengine wanaenda mbali na kusema tuombe Mungu aepushe majanga hapa kwetu, Je huyu Mungu ni mpaka aombwe ndo aepushe majanga?

kazi yake ni ipi haswa kwenye maisha ya wanadamu? kwanini huwa anasubiri aombwe na kubembelezwa?
Mungu mwenyewe anasemaje kuhusu haya madai?
 
Back
Top Bottom