Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,648
- 3,280
Sasa hapo shida iko wapi mkuu...Shida yake anapenda sifa.
Mungu ni mpenda sifa, anapenda kusifiwwa
Sasa hapo shida iko wapi mkuu...Shida yake anapenda sifa.
Mungu ni mpenda sifa, anapenda kusifiwwa
Mwanadamu anawezaje kumuumba MUNGU!Mungu ana viungo vyote vya mwanadamu kama vile:
Kichwa
Macho
Masikio
Mdomo/Kinywa
Ulimi
Miguu
Mikono
Vidole
Roho
Moyo
Akili
Pia ana sifa zote za mwanadamu kama:
Mawazo
Hasira
Wivu
Anajuta
Anafurahi
Anapumzika
Anatembea
Hajui baadhi ya vitu
Anakula njama
Ana mipango
Ana kinyongo
Anachoka
Kwahiyo, Mungu = mwanadamu.
Kiuhalisia mwanadamu ndio alumuumba Mungu, sio Mungu alimuumba mwanadamu.
Asili ya mungu ni nini na wapi ?The way utakavyodefine wewe utarudi palepale mimi niliwahi kumuuliza mhindi mmoja kwanini wanaabudu ng'ombe ? Alijibu kuwa wananuiya sio ng'ombe tuu hata jiwe anaweza kuabudiwa kunuiya kama jambo lake litatimia,kuhusu Mungu alisema hajui kama kuna Mungu japo anaamini ipo super power inayotawala vitu vyote nilimjibu tuu iyo super power ndio Mungu mwenyewe.
Kwako sio lazma usome bible waweza tumia au kuangalia vitu vingi na ujiulize asili yake ni nini na wapi basi uyo utakayemdhani ndio Mungu au tumia jina lolote
Swali zuri...Asili ya mungu ni nini na wapi ?
Asili yake ni mwanzoAsili ya mungu ni nini na wapi ?
Na ulimwengu asili yake ni mwanzoAsili yake ni mwanzo
Kila kitu ni mwanzo na chanzo cha mambo yote ni roho,vitabu vya dini vipo kwenye maana moja isipokuwa vya kisayansi,waweza kujifunza kuhusu Mungu kwa namna unayotaka wewe naye atakuonyesha ukuu wakeNa ulimwengu asili yake ni mwanzo
Yesu alipokaribia kuhukumiwa aliomba,kuomba ni mawasiliano ni mazungumzo bayana ya mtoto na baba yake,kuna andiko linasema njoo tusemezane ulete haja zako nk hapo ni anakusihi kuwa yeye Mungu baba yupo muda wote kutusikilizaKama anajua mahitaji hakuna haja ya kumuomba.
Kama ameshapanga na anajua kila kitu basi maombi hayabadilishi chochote.
Usimtafute ukiwa na shida tu bali iwe sehemu ya utaratibu wako kuongea naeTunamuhitaji Africa atakomboe kutoka umasikini na taabu za kila aina.
Mwanadamu ameumba vitu vingi sana kama mungu, shetani, muda, siku, tarehe, lugha nkMwanadamu anawezaje kumuumba MUNGU!
Mababa wanaojielewa huwa hawasubirii kuombwa chakula, mavazi, ada na mahitaji mengine na watoto wao.Yesu alipokaribia kuhukumiwa aliomba,kuomba ni mawasiliano ni mazungumzo bayana ya mtoto na baba yake,kuna andiko linasema njoo tusemezane ulete haja zako nk hapo ni anakusihi kuwa yeye Mungu baba yupo muda wote kutusikiliza
Mwanadamu ni mfano wa MUNGU!Mwanadamu ameumba vitu vingi sana kama mungu, shetani, muda, siku, tarehe, lugha nk
Hapana, mungu ndio ameumbwa kwa mfano wa mwanadamu ndio maana wakampa macho, mdomo, mikono, miguu na tabia zote za mwanadamu kama hasira, kiburi, wivu, tamaa, kuchoka nkMwanadamu ni mfano wa MUNGU!