Kumtetea Mungu ni kazi sana!

Kumtetea Mungu ni kazi sana!

Your desperate thesaurus recital is almost touching. You’ve mistaken verbosity for intelligence, condescension for sophistication, and the indiscriminate deployment of polysyllabic vocabulary for evidence of intellectual superiority.

You accuse me of being semi-literate while producing a pompous torrent of self-congratulation masquerading as an argument. That is not intellectual rigor, it is verbal peacocking.

And spare me the sermon about abstract thoughts. Abstract thinking requires clarity, coherence, and the ability to distinguish a substantive argument from one’s own inflated self-image. You have demonstrated considerably more enthusiasm for sounding profound than for actually being profound.

You claim this is a battle of ideas, yet your entire response reeks of wounded ego. If your argument were genuinely as formidable as you advertise, you wouldn’t need to repeatedly announce your intellectual superiority like an insecure lecturer begging for applause.

So by all means, continue adorning your empty assertions with ornamental vocabulary. A thesaurus can manufacture complexity, but it cannot manufacture intelligence and your verbosity has done a remarkably poor job of concealing the deficit.
Hujathibitisha Mungu yupo.

Acha longolongo.
 
😅😅Imekuwaje kwani? kwa hiyo walipenda ? binadamu yoyote anapenda mambo mazuri yatokee kwake ,lazima kuna nguvu inetenda hivyo kama wangejua wangekimbiw hata makazi kubaki bila watu ...
Magari nayo yanachakaa na kuharibika, nyumba zinachakaa na kuharibika, wanyama porini wanakulana na kufa kwa kila sababu ingawa hawajui chochote kuhusu kesho. Huu utakuwa ni mzunguko tu wa maisha.
 
Binafsi napitia magumu na dhiki tangu utotoni mwangu!

Sijaona msaada wa huyo anayeitwa Mungu.

Maisha yagu hayana tofauti na wafia dini wote tunakula moto.

Kinyume chake pia Kuna watu ni wafia dini Wana maisha mazuri Sana lakini pia Kuna watu wasiokuwa wa kidini wanakula maisha kuliko wafia dini.

Mimi nakubaliana na hii kwamba Maisha ya mtu au kitu chochote huamuliwa na mazingira kiliyopo.
Huo ndio ukweli,
Dini kama faraja kisaikolojia tu.
 
Sahihi mkuu, angekuwa na msaada kwanini asigawe msosi kwa watu wasiojiweza?
Kidogo ambacho angeweza kufanya angalau ni kuzuia watoto wasife na kukatwa viungo na mabomu na risasi huko Gaza, Congo, Ukraine, Sudan, Lebanon na Iran. Too much evil and unnecessary suffering in this World.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Acha longolongo.
You have a remarkable talent for dressing intellectual emptiness in extravagant vocabulary. 😂 You mistake verbosity for brilliance, arrogance for authority, and a thesaurus for a brain. If your argument were truly as logically sound as you advertise, it wouldn’t need this much verbal decoration to stay upright. Less peacocking, more reasoning.
 
Unapomuitaji anapatikanika

Katika Biblia (Mathayo 6:8) Yesu anasema Baba anajua mahitaji yako kabla hujamwomba. Katika Uislamu, Mwenyezi Mungu anajua yote.

Yatupasa kumuomba na kumlilia shida zetu kama baba yako mzazi anaekulea
Kama anajua mahitaji hakuna haja ya kumuomba.
Kama ameshapanga na anajua kila kitu basi maombi hayabadilishi chochote.
 
Hata wao wanaabudu ila sisi kuna kitu tumekaririshwa kwa kumweka Mungu katika umbo
Ni kweli na wao wanaabudu, ila sidhani kama wanachukulia maanani sana kauli kama hizi
Ukisoma vitabu vitakatifu hamna janga jipya chini ya jua ,kila kinachotokea duniani kinasababu
Statement kama hizo hua zina athari
 
You have a remarkable talent for dressing intellectual emptiness in extravagant vocabulary. 😂 You mistake verbosity for brilliance, arrogance for authority, and a thesaurus for a brain. If your argument were truly as logically sound as you advertise, it wouldn’t need this much verbal decoration to stay upright. Less peacocking, more reasoning.

Umekataa maongezi marefu ya kimantiki.

Nakupa kiufupi.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Acha longolongo.
 
Nini sababu ya watoto kuteseka na kufa kwa cancer na vita??
Binadamu mwenyewe alishakiuka maandiko yote hayo ni matokeo ya sisi wenyewe binadamu,wewe ukiamua kujiua utauwa mwili huwezi kusema ni Mungu ,natamani sana usimchkulie Mungu kama binadamu.
 
Binadamu mwenyewe alishakiuka maandiko yote hayo ni matokeo ya sisi wenyewe binadamu,wewe ukiamua kujiua utauwa mwili huwezi kusema ni Mungu ,natamani sana usimchkulie Mungu kama binadamu.
Nauliza kuhusu watoto wanaoteseka ambao hawajui chochote kinachoendelea hapa duniani
 
Nauliza kuhusu watoto wanaoteseka ambao hawajui chochote kinachoendelea hapa duniani
Binadamu alipewa kazi moja tuu mkuu kutawala duniani kupitia msaada wa Mungu sasa kama amekiuka matokeo yake unadhani yatakuwa yapi
 
Binadamu alipewa kazi moja tuu mkuu kutawala duniani kupitia msaada wa Mungu sasa kama amekiuka matokeo yake unadhani yatakuwa yapi
Kwa nini mungu alimruhushu shetani kuja duniani wakati kuna matrilioni ya sayari nyingine ulimwenguni??
 
Kwa nini mungu alimruhushu shetani kuja duniani?
Yoda usimtafsiri Mungu kama mtu hata kwenye iyo heading utaishia kumlaumu Mungu kwakuwa umemweka katika kipimo , ili utoke kwenye hili Jifunze kumjua Mungu kama Roho isiyoonekana anza kwenye kitabu cha Yohana 4:24, Wakolosai 1:17
 
Sijali kama ni kama mtu, roho, nafsi au chochote kila. Kama anaweza kuzuia mateso halafu hayazuii basi kumtetea ni kazi ngumu sana inayohitaji mental gymnastics za kila aina Ile ku reconcile hizo contradictions.

Halafu ulitumia vigezo gani kuamua mungu wako ni wa Biblia na sio Allah wa Quran au Brahma, Vishnu na Shiva??
 
The way utakavyodefine wewe utarudi palepale mimi niliwahi kumuuliza mhindi mmoja kwanini wanaabudu ng'ombe ? Alijibu kuwa wananuiya sio ng'ombe tuu hata jiwe anaweza kuabudiwa kunuiya kama jambo lake litatimia,kuhusu Mungu alisema hajui kama kuna Mungu japo anaamini ipo super power inayotawala vitu vyote nilimjibu tuu iyo super power ndio Mungu mwenyewe.
Kwako sio lazma usome bible waweza tumia au kuangalia vitu vingi na ujiulize asili yake ni nini na wapi basi uyo utakayemdhani ndio Mungu au tumia jina lolote
 
Back
Top Bottom