Benoit
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 754
- 1,692
Mkuu amini Mungu hayupo, ni haki yako kabisa.Suala si wewe unaamini nini.
Kama hayupo, atakuwa hayupo tu bila kujali unaamini hivyo au huamini hivyo.
Kwa hiyo, unavhoamini wewe si muhimu, muhinu ni ukweli.
Ukweli ni ukweli tu, hata kama huuamini.
Na mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo, unaamini tu.
Thibitisha Mungu yupo, usiseme tu unaamini.
Mimi naamini Mungu yupo, ni haki yangu pia.
Mambo ya kuthibitisha kama yupo au hayupo sio muhimu.
Jamii yote hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja.