Kumtetea Mungu ni kazi sana!

Kumtetea Mungu ni kazi sana!

Binafsi huwa nawaona watu wanahoji kitu wasicho kijua...

Being grateful is the only great prayer 🙏

Ni mpaka mtu akumbwe na dhiki ndo aanze kumlilia Mungu
Binafsi napitia magumu na dhiki tangu utotoni mwangu!

Sijaona msaada wa huyo anayeitwa Mungu.

Maisha yagu hayana tofauti na wafia dini wote tunakula moto.

Kinyume chake pia Kuna watu ni wafia dini Wana maisha mazuri Sana lakini pia Kuna watu wasiokuwa wa kidini wanakula maisha kuliko wafia dini.

Mimi nakubaliana na hii kwamba Maisha ya mtu au kitu chochote huamuliwa na mazingira kiliyopo.
 
Sahihi mkuu, angekuwa na msaada kwanini asigawe msosi kwa watu wasiojiweza?
 
Kwanza ,hakuna uhusiano na adhabu ya kuharibu na kifo, vifo vinatokea kila siku ..Unachotakiwa kujua ni kwamba kuna sababu elfu moja ya binadamu kufa ,na kifo kipo ...Ukitaka kujua Mungu yupo au hayupo ,basi hao hawakutaka kufa ila kuna kitu kimefanya hivyo ,wameishi hapo miaka na miaka ilikuwa ni sehemu salama kwao ,ila bado ni dhaifu wamekufa wakiwa na ndoto zao wala hakuna aliyepanga yatokee ili ni Mungu Mkuu.

Binadamu ni dhaifu kiasi hajui kesho yake ,anawezaje kukataa uwepo wa Mungu?
Vipi alikuwa na uwezo wa kuepusha hayo maafa?
 
Anapohitaji au anapohitajika?
Unapomuitaji anapatikanika
Sasa kwanini anataka kuabudiwa? Shida yake ni ipi haswa?
Katika Biblia (Mathayo 6:8) Yesu anasema Baba anajua mahitaji yako kabla hujamwomba. Katika Uislamu, Mwenyezi Mungu anajua yote.

Yatupasa kumuomba na kumlilia shida zetu kama baba yako mzazi anaekulea
 
Back
Top Bottom