Utumishi wa umma mpaka leo hii wafanyakazi wanateseka sana kwasababu mbali mbali

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,117
12,518
Leo ngoja nitoe ya moyoni kidogo kuhusu utumishi wa umma kwasababu kuna baadhi ya watu wana mawazo tofauti sana kuhusu hii sekta wengine wanajua ukiingia huko umetoboa. Unajua nchi yetu kuna vitu vingine vinasikitisha sana hasa katika utumishi wa umma mpaka leo hii wafanyakazi wanateseka sana kwasababu mbali mbali ikiwemo zifuatazo:–

1.watumishi wa umma wanateseka kwenye nyumba za kupanga yaani ukiona nyumba anayokaa mtumishi mpaka unajiuliza mara mbili huyu ni mfanyakazi kweli, ila wenyewe wanaishi kwenye AC na nyumba za bure kama hawajui kinachoendelea.

2.Malimbikizo ya madeni ya watumishi kuna wengine mpaka leo hawajapewa pesa za kujikimu kuna wengine wanadai hela za likizo za mda mrefu wengine wanadai hela za kuhamishwa kituo cha kazi na kupandishwa mshahara ila dodoma watu wanakula kiyoyozi hawana wasi wasi.

3.Mazingira duni ya kufanyia kazi ukienda sehemu nyingi kwa mfano sekta ya afya dawa zime expire vifaa vibovu ila wanataka vitumike hvyo hvyo na wanasiasa wakija wanawawajibisha kwa kutaka sifa kweli utumishi wa umma ni kujitolea.

4.Kuteseka kwa wastaafu yaani mtu anafanya kazi miaka 30 wengine 35 wengine 40 halafu akija kustaafu wengine mpaka wanafariki hawajapata stahiki zao wanasumbuliwa ila wabunge million 250 kiunua mgongo Hakuna longolongo wala usumbufu na wakija kwenye vituo vya kazi wanawafokea watumishi kwa nini mstaafu asikae nyumbani asubirie pesa mpaka aanze kuhangaika sio sawa.

5.mishahara midogo yaani wananchi wanawachukia watumishi kwasababu wanajua wanalipwa hela nyingi na stahiki zao zote ila hawataki kazi kumbe hali ni tofauti kabisa kila kitu kipo shaghala baghala wanapiga mizinga na wana madeni kila kona mpaka wanatoka mvi wakati bado wadogo.

6.Watumishi wengi wa umma wanafanya kazi kwasababu wanaogopa kuaibika na kuanza upya mtaani ila sio kwasababu ya maslahi hali zao ni mbaya sana sema watu wakiwaona mtaani wanaona wamejaa hela na vigari vyao vya mkopo serikali isikie kilio chao.

7.Wanatafuta maisha baada ya kustaafu kuna tafiti ilifanywa walisema asilimia kubwa ya wastaafu wanafiriki baada ya miaka mitano yaani ni ngumu kuvuka miaka mitano kwasababu ya stress na maradhi yanayowakabili baada ya kustaafu baada ya kutumia vibaya hela zao za pension na maisha kuwa magumu na kuanza tena upya kutafuta maisha na kazi za vibarua.

8.Wana mabosi wengi yaani ukiwa mtumishi wa umma kila mtu boss wako mkuu wa wilaya boss wako mkuu wa mkoa katibu mwenezi kiufupi wanasiasa wote ni mabosi zako na anaweza kukufukuzisha kazi mda wowote hvyo mwisho wanaishi kwa wasi wasi kwa kuogopa kufukuzwa kazi.

9.Kila kitu kwenye utumishi ni siasa hauruhusiwi kusema kweli hata kama mambo yanaenda hovyo inabidi ufunike kombe kulinda ugali wako kwasababu bila hvyo hutoboi na yata kukuta mazito na kazi uione chungu.

10.watu wamejimilikisha ofisi yaani ukimkuta mkuu wa taasisi yaani ana mamlaka kama raisi jinsi alivyo wana jeuri wana vibri na wanaamini hakuna mtu wa kuwafanya chochote hvyo wao hujiona wamefika kwasababu hakuna wa kuwawajibisha labda itokee bahati mbaya tu kazini.

Yapo mengi sana ila kwa leo ngoja niishie hapa kama kuna mwenye la kuongezewa anakaribishwa ila hali ni mbaya na inasikitisha sana kwa kweli alamsik.
 
Vipi kipindi cha JPM hiyo hali ilikuwaje?
 
Nchi haiwezi kupata maendeleao ikiwa kila MTU ataendelea kulalamika

Keep this on ur mind
 
Yule alipaswa awe IGP sio raisi
Jamaaa alifanikiwa kuinyoosha hii nchi! Najaribu kuwaza Dar ingekuwaje kwa msongamano wa sasa hivi kwenye vituo vya mwendokasi kama serikali isingeamishiwa dodoma na mwamba!
Vibosile wengi wasingehamia Dom bila utisho wa mwamba
 
Mheshima Rais wetu mama Samia Suluhu sikia kilio Chetu sisi watumishi hasa Walimu....tunadharaulika na jamii sababu ya uduni wa mishahara...Japo tunakushukuru maana awamu yako hujatusahau Kabisa.Please mama🙏🏽
 
Kitu huwa najuta ni kuacha kazi sekta binafsi na kuja huku serikalini.

Kwanza unapelekwa bush, hela ya kujikimu hakuna, kushika hela ni mwisho wa mwezi hadi mwisho wa mwezi, mabosi kibao, majungu kazini, elimu yako huku haina thamani, uchawa ndio kila kitu huku.

Serikalini kuna njaa sana, Mama aangalie maslahi ya watumishi wake hali ni mbaya sana.
 
Ndio maana nimesema alitakiwa awe IGP maana alikuwa hasikii la mnadi swala wala muadhini.
 
Kitu huwa najuta ni kuacha kazi sekta binafsi na kuja huku serikalini.

Kwanza unapelekwa bush, hela ya kujikimu hakuna, kushika hela ni mwisho wa mwezi hadi mwisho wa mwezi, mabosi kibao, majungu kazini, elimu yako huku haina thamani, uchawa ndio kila kitu huku.

Serikalini kuna njaa sana, Mama aangalie maslahi ya watumishi wake hali ni mbaya sana.
Kweli mkuu sema ukiwa nje huwezi kujua
 
Leo ngoja nitoe ya moyoni kidogo kuhusu utumishi wa umma kwasababu kuna baadhi ya watu wana mawazo tofauti sana kuhusu hii sekta wengine wanajua ukiingia huko umetoboa. Unajua nchi yetu kuna vitu vingine vinasikitisha sana hasa katika utumishi wa umma mpaka leo hii wafanyakazi wanateseka sana kwasababu mbali mbali ikiwemo zifuatazo:–

1.watumishi wa umma wanateseka kwenye nyumba za kupanga yaani ukiona nyumba anayokaa mtumishi mpaka unajiuliza mara mbili huyu ni mfanyakazi kweli, ila wenyewe wanaishi kwenye AC na nyumba za bure kama hawajui kinachoendelea.

2.Malimbikizo ya madeni ya watumishi kuna wengine mpaka leo hawajapewa pesa za kujikimu kuna wengine wanadai hela za likizo za mda mrefu wengine wanadai hela za kuhamishwa kituo cha kazi na kupandishwa mshahara ila dodoma watu wanakula kiyoyozi hawana wasi wasi.

3.Mazingira duni ya kufanyia kazi ukienda sehemu nyingi kwa mfano sekta ya afya dawa zime expire vifaa vibovu ila wanataka vitumike hvyo hvyo na wanasiasa wakija wanawawajibisha kwa kutaka sifa kweli utumishi wa umma ni kujitolea.

4.Kuteseka kwa wastaafu yaani mtu anafanya kazi miaka 30 wengine 35 wengine 40 halafu akija kustaafu wengine mpaka wanafariki hawajapata stahiki zao wanasumbuliwa ila wabunge million 250 kiunua mgongo Hakuna longolongo wala usumbufu na wakija kwenye vituo vya kazi wanawafokea watumishi kwa nini mstaafu asikae nyumbani asubirie pesa mpaka aanze kuhangaika sio sawa.

5.mishahara midogo yaani wananchi wanawachukia watumishi kwasababu wanajua wanalipwa hela nyingi na stahiki zao zote ila hawataki kazi kumbe hali ni tofauti kabisa kila kitu kipo shaghala baghala wanapiga mizinga na wana madeni kila kona mpaka wanatoka mvi wakati bado wadogo.

6.Watumishi wengi wa umma wanafanya kazi kwasababu wanaogopa kuaibika na kuanza upya mtaani ila sio kwasababu ya maslahi hali zao ni mbaya sana sema watu wakiwaona mtaani wanaona wamejaa hela na vigari vyao vya mkopo serikali isikie kilio chao.

7.Wanatafuta maisha baada ya kustaafu kuna tafiti ilifanywa walisema asilimia kubwa ya wastaafu wanafiriki baada ya miaka mitano yaani ni ngumu kuvuka miaka mitano kwasababu ya stress na maradhi yanayowakabili baada ya kustaafu baada ya kutumia vibaya hela zao za pension na maisha kuwa magumu na kuanza tena upya kutafuta maisha na kazi za vibarua.

8.Wana mabosi wengi yaani ukiwa mtumishi wa umma kila mtu boss wako mkuu wa wilaya boss wako mkuu wa mkoa katibu mwenezi kiufupi wanasiasa wote ni mabosi zako na anaweza kukufukuzisha kazi mda wowote hvyo mwisho wanaishi kwa wasi wasi kwa kuogopa kufukuzwa kazi.

9.Kila kitu kwenye utumishi ni siasa hauruhusiwi kusema kweli hata kama mambo yanaenda hovyo inabidi ufunike kombe kulinda ugali wako kwasababu bila hvyo hutoboi na yata kukuta mazito na kazi uione chungu.

10.watu wamejimilikisha ofisi yaani ukimkuta mkuu wa taasisi yaani ana mamlaka kama raisi jinsi alivyo wana jeuri wana vibri na wanaamini hakuna mtu wa kuwafanya chochote hvyo wao hujiona wamefika kwasababu hakuna wa kuwawajibisha labda itokee bahati mbaya tu kazini.

Yapo mengi sana ila kwa leo ngoja niishie hapa kama kuna mwenye la kuongezewa anakaribishwa ila hali ni mbaya na inasikitisha sana kwa kweli alamsik.
Hahaha wanaitana MKUU
 
Mheshima Rais wetu mama Samia Suluhu sikia kilio Chetu sisi watumishi hasa Walimu....tunadharaulika na jamii sababu ya uduni wa mishahara...Japo tunakushukuru maana awamu yako hujatusahau Kabisa.Please mama🙏🏽
Walimu wanalipwa mshahara mkubwa kuliko wafanyakwafanyakazi wengine wenye elimu sawa (tukiondoa watu wa afya na wahandisi)
 
Back
Top Bottom