Kumradhi wakuu!

Nimeshangaa leo naangalia post zangu za jana sizioni nikajua kuna tatizo limetokea. Poleni sana.
 
Dah dah dah
Pole sana Mkuu
Leo sijaingia mtandaoni kabisa ndo muda huu nasoma taarifa hii.
Pole sana ila naamini kila jiwe litakaa ktk mahala pake soon. lets hope

Ila naamini siyo sababu ya mafisadi imetufikisha hapa
 
Ninyi ni mashujaa wakuu.

Nashauri litafutwe suluhisho la kudumu kwa baadaye ili kukwepa kupoteza data.
Naamini wizards wa IT wanajibu.
 
Shy,

Uko sahihi, ukweli nimechoka kwa sasa maana sijalala takribani masaa 27 hivi, wengi mmepata feeds hizo, kama kuna wanaoweza kuzileta mtakuwa mmefanya jambo la busara sana.

Mkuu Shapu, imeenda na maji, very sorry mkuu.

Mkuu kapumzike usije anguka kama muungwana kwa uchovu. Hatutakuwa na sababu ya muhimu kutetea kuanguka kwako. Masaa 27 ni mengi na naomba ukubali ushauri wa wadau. Ukikaidi shauri lako.
 
Wakulu Max, Invisible na Painkiller,

Poleni kwa msukosuko ulowakumba wa mambo ya kuhamisha data.

Naelewa kazi kubwa mlonayo ya kuendelea kutuweka katika ukumbi huu.

Ntajitahidi tuwasiliane na ntawa-PM.
 
Wakulu Max, Invisible na Painkiller,

Poleni kwa msukosuko ulowakumba wa mambo ya kuhamisha data.

Naelewa kazi kubwa mlonayo ya kuendelea kutuweka katika ukumbi huu.

Ntajitahidi tuwasiliane na ntawa-PM.

Umemsahau na Farida mkuu....Pa1
 
Heshima mbele..........Mkuu

uwe unatupandishia na torrents za kibongo bongo.....pindi itakaporudi.......

Brodha, waonee huruma kidogo wasanii wa kibongo. Wanasweat mbaya na maisha bado ni passport size. Tunapopinga ufisadi lazima tuwe tunakataa its all forms and entirety, hususan pale maslaha ya wanyonge yanapoguswa.

NB: Ni ushauri tu sio amri.
 
...sawa mkuu.....nimekuelewa....
 
Max, Invi and the rest of the team, poleni sana na hongereni. Wakati wa tufani hii, nami nilikuwa katikati ya bahari, nikisukuma jahazi la "live ya uzinduzi wa Tira", bahati mbaya jahazi limezama, data zimekwenda na maji cha muhimu, bora salama.
Poleni tena, tuko pamoja.
 
Shy,

Uko sahihi, ukweli nimechoka kwa sasa maana sijalala takribani masaa 27 hivi, wengi mmepata feeds hizo, kama kuna wanaoweza kuzileta mtakuwa mmefanya jambo la busara sana.

Mkuu Shapu, imeenda na maji, very sorry mkuu.
Aisee, hukulala kwa muda wa masaa 27!

Pole sana Max!
 
Back
Top Bottom