Kumradhi wakuu!

Kumradhi wakuu!

Ningejua Farida yuko tight kihivyo walau ningekuwa naPM kimtindo!

Hehehehe thubutu hata kucomment yeye mzito sembuse PM yeye ukibip anapiga jaribu uone kama hujaonekana mwezi mzima hapa.
 
Pole sana mkuu....mimi nakupongeza kwa muda na jitihada zenu kuhakikisha mijadala ya JF inakuwa endelevu.....na hivyo mnachangia ujenzi wa taifa letu kwa moyo huo.hongera sana
 
Thanks mkuu!

Kuwa makini na hii JF unahatarisha ndoa yako!

ha ha aha ha ha, kwa hiyo unamshauri MKULU kwenye friji yake asikose

1. TIKITI MAJI KUBWAAAA!

PIA ATUMIE

2. SUPU YA PWEZA NA NYAMAZAKE KILA MARA/ X 4 KWA SIKU.
3. SUPU YA KONGORO/ULIMI WA NG'OMBE KOROSHO MBICHI
4. MAZIWA FRESH KWA AJILI YA MACHO NA PROTIN
 
Ubarikiwe sana Nguli, usikose kuja kwenye mkesha!
 
Bila shaka mashamu askoofu,
ila Mkulu anajitolea sana is rly dedicated to serve this nation, na ndio maana amenenepa kama mr Mandinda wa Twanga Pepeta.
 
lim (x³-7x²) = ∞;612094 said:
Si umeona nimezishusha kwa uchache. Nilizipata kwenye feeds za JF, muda mwingi nipo site mkuu. Wahandisi kuwa online ni nadra kamanda wangu.

Mambo ya teknolojia ni ∞ maana anytime anything can happen na unaweza kukosa hata kujinasua. Waulize Demonoid.com website kubwa kabisa, wao walipoteza database ya kila kitu hata majina ya waliojisajili na pwd zao. Kurudisha hata hivi jamaa nimewakubali ni wakali.

Karibu katika ulimwengu wa Maths 🙂

thanks Lim jina lako gumu thanks nitakaribia kujifunza
 
Bila shaka mashamu askoofu,
ila Mkulu anajitolea sana is rly dedicated to serve this nation, na ndio maana amenenepa kama mr Mandinda wa Twanga Pepeta.

Mama Askofu Belinda atanikimbia si unajua issue yake Madindaz?
 
Je mmejiandaaje ili next time tatizo kama hili lisitokeee?
Tumenunua hard disk nyingine (1TB hivyo kuwa na mbili za ukubwa huo) ambayo itakuwa na back up ya pili. Hili ni suala ambalo limetokana na database kuwa kubwa (30GB) na errors kutokea wakati tunafanya backup.

Kuna uwezekano mkubwa hoja zilizopotea kurejea, sijui kama tutaweza kuzirejesha zote lakini tutajitahidi.

Nadhani wengine kwa sasa mkipata PM mnapata na email notifications. Hilo pia tumerekebisha.

Am out
 
Wee Kiboko, ama ni addictions hizi na JF ? yamekuwa masaa 30 hujalala....mhhhhh pole sana!
 
Bwana Kalale!
Usiwe mbishi kama Raisi wako mpaka uje uangukie jukwaa la complains!!
Anyway that is JF addiction though!
 
Wee Kiboko, ama ni addictions hizi na JF ? yamekuwa masaa 30 hujalala....mhhhhh pole sana!
Hapana mkuu si addiction, ni wajibu wangu kwako na kwa wenzangu. Ukishaamua kuyavulia nguo, huna budi kuyaoga.

Kuna wenzetu tulokuwa tunashirikiana nao US kwa utofauti wa masaa wao wanaona muda bado unaruhusu, hivyo wamenishikilia kwa muda.

Nipo kama sipo
 
limx→∞ (x³-7x²) = ∞;612128 said:
Niite limx→∞ (x³-7x²) = ∞ au hata ukiniita ∞ inatosha tu.

Be my guest 😛

mweh ∞ ok
 
Hapana mkuu si addiction, ni wajibu wangu kwako na kwa wenzangu. Ukishaamua kuyavulia nguo, huna budi kuyaoga.

Kuna wenzetu tulokuwa tunashirikiana nao US kwa utofauti wa masaa wao wanaona muda bado unaruhusu, hivyo wamenishikilia kwa muda.

Nipo kama sipo

MKULU pole na kazi, ila una personal dr. hapo karibu? kama huna ni muhimu ukapatiwa dr. wako naona ushauri wangu na masanilo umegonga ukuta
 
Back
Top Bottom