Kumradhi wakuu!

Maxence na wenzako mnafanya kazi takatifu kwelikweli. Mbarikiwe sana. Tumeamka asubuhi JF ikawa haipo tukajihisi kupungukiwa sana. Poleni na ahsanteni sana. Kama hakuna mkono wa mtu tutashinda tu.
 
Maxence na wenzako mnafanya kazi takatifu kwelikweli. Mbarikiwe sana. Tumeamka asubuhi JF ikawa haipo tukajihisi kupungukiwa sana. Poleni na ahsanteni sana. Kama hakuna mkono wa mtu tutashinda tu.

Max,

Asante na team nzima ya wadau kwa kuirudisha tena JF hewani. Nilichanganyikiwa kidogo asubuhi nilipojaribu kuifungua nikapata majibu ya ajabu. Nilishindwa hata ni nani nimpigie simu kumuuliza ni kitu gani kinaendelea.

Kazi nzuri sana na Mungu awabariki.

Tiba
 
Maxence na wenzako mnafanya kazi takatifu kwelikweli. Mbarikiwe sana. Tumeamka asubuhi JF ikawa haipo tukajihisi kupungukiwa sana. Poleni na ahsanteni sana. Kama hakuna mkono wa mtu tutashinda tu.

mie nilijua ELININO imepita niliwaza mengi lol ama JK kasema tusitishe kwa muda or ??
 
Limit of (x³-7x²) as X approaches to what? Hiyo expression bado kukamilika, huwezi tu kujiwekea "equals to infinity" bila kueleza X ilikuwa inaaproach to what. Fanya revision, otherwise utaishia kuwadanganya wasiojua eg First Lady.

sana mkuu, tunaojua MASEMATIX tulishastukia mkuu anatuzingua, hahaaaa!
 
Poleni wakuu,na tunashukuru kwa jitihada zote zilizofanyika kuweka mambo sawa.
 
limx→∞ (x³-7x²) = ∞;612094 said:
Si umeona nimezishusha kwa uchache. Nilizipata kwenye feeds za JF, muda mwingi nipo site mkuu. Wahandisi kuwa online ni nadra kamanda wangu.


Mambo ya teknolojia ni ∞ maana anytime anything can happen na unaweza kukosa hata kujinasua. Waulize Demonoid.com website kubwa kabisa, wao walipoteza database ya kila kitu hata majina ya waliojisajili na pwd zao. Kurudisha hata hivi jamaa nimewakubali ni wakali.

Karibu katika ulimwengu wa Maths :)

Mkuu wale jamaa si wa kawaida aisee
 
Poleni sana JF Crew kwa kazi ngumu na nzito mliyoifanya,furaha yetu ni kurudi hewani kwa JF maana kutokuwepo kwake hewani nia adhabu kubwa sana kwangu mimi.Kazi njema wakuu na Mungu azidi kuwazidishia nguvu za kuitumikia vema JF
 
Gabu
user_online.gif

Gabu has been infected with swine flu
Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Mar 2009
Posts: 117
Thanks: 16
Thanked 49 Times in 24 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif



icon1.gif
Re: Kumradhi wakuu!


gabu profile yako inatisha una swine flu ?? teh teh teh :)
 
Gabu
user_online.gif

Gabu has been infected with swine flu
Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Mar 2009
Posts: 117
Thanks: 16
Thanked 49 Times in 24 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif



icon1.gif
Re: Kumradhi wakuu!


gabu profile yako inatisha una swine flu ?? teh teh teh :)

Hahaha ogopa usije ukaambukizwa ooh huo ugonjwa hatari sana kuliko Ukimwa.
 
Poleni sana JF crew hasa wale technical ambao walikuwa wanafanya maintainance. Tumepata bahati mbaya kupoteza some data ila tusikate tamaa, cha msingi tutafute njia ambayo mkitaka tena kufanya shughuli kama hii basi muwe na precautions. Unajua kuna baadhi ya watu hawaitaki JF na wakipata mwanya wanajitahidi kuiangamiza. I hope ilikuwa ni bahati mbaya na si uharamia.

Otherwise, Maxence pumzika. Hatutapenda kukuona ukidondoka na kulazimu daktari wako aje hadharani kumwaga private health status yako!!!

Agani, I salute your dedication to Tanzanians through your commitment in the JF. Si kazi rahisi!!
 
Hongereni kwa kuirudisha JF kwani mie nilichanganyikiwa na mawazo yakanipeleka kusiko kuwa pengine mjadala ulioendelea janvini juu ya ripoti ya Afya ya mkulu imezua balaa JF imepigwa panga!! Kumbukeni kupumzika ni muhimu kwa afya zenu it will not be to out best interests kama tunaowategemea mkianza KUZIMIKA!!
 
Mi nilidhani Chelsea imefungwa...duh mimi sio mtaaluma wa IT lakini inakuwaje tu-30GB tunawachemsha aisee? Is JF some kind of a joke?
 
limx→∞ (x³-7x²) = ∞;612128 said:
Niite lim (x³-7x²) = ∞ au hata ukiniita ∞ inatosha tu.

Be my guest :p

Jina lako halina maana.. but no pun intended though. Sisi wana mahesabu unatutatiza kidogo.
 
Mi nilidhani Chelsea imefungwa...duh mimi sio mtaaluma wa IT lakini inakuwaje tu-30GB tunawachemsha aisee? Is JF some kind of a joke?
Mkuu Abdulhalim,

Kama hata kama wewe si mtaalam wa IT unaweza kuelewa maana ya data ku-corrupt wakati wa backup.

Si kama JF imechemsha kisa 30GB, hapana! Space iliyopo ni 15TB na nadhani ni ya kutosha. Backup ya pembeni ni 2TB ambayo pia inatosha tu mkuu wangu...

Tatizo tulilokumbana nalo ni kuwa data zilionekana kuwa ziko 100% tayari kwenye backup kabla hatujafanya marekebisho ambayo tumefanya na kama kawaida tukaanza kurejesha data kwenye server ndo ikaonekana database ilikuwa corrupted. Kama ingekuwa ni kuchemsha si tungeshachemsha hata sasa basi?

Ni jambo la kawaida, ndo maana tumerejesha kila kitu katika hali ya kawaida na kupoteza data kidogo za muda takribani 21hrs (texts & images only).

Otherwise, yangetukuta yalowakuta Demonoid.com (kupoteza kila kitu) basi nadhani yangeongeleka mengine.

Unajua hata wewe mwenyewe kuwa unaweza ku-copy file kwenye flash ukaondoka na kwenda pc nyingine mbali kabisa na ulikochukua file hilo ukaambiwa liko corrupted... Kama huna backup basi inakuwa ni hasara kwako (sometimes unakuwa frustrated sana!).

...... do happen men!
 
Back
Top Bottom