Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

Huu ndio ukweli.
 
Naona una Maslahi mapana ktk Ubunge wa huyu jamaa
 
Hiyo ndiyo demokrasia ina uzuri na hasara zake.
 
Uyo anachukiwa hadi na wana CCM
 
Kama huna fedha ni vigumu sana kupitishwa na ccm na watu wengi wanalalamika sana.
 
Magu si ana nafasi za mfukoni, ampe huo ubunge. Kuna ulazima gani wa yeyee kua mbunge wa kigamboni. ?

Mbona watu kibao kawapa ubunge
 
Akili za namna hii zinakera.So unepewa kazi,tena ambayo unaweza kuitumia kuwaletea wananchi maendeleo,halafu kwa tamaa zako za kijinga unaiacha unafukuzia kazi nyingine ambayo sio malengo ya kiongozi wako mkuu,hiyo ni dharau ambayo haiwezi kuvumiliwa,haijalishi una uwezo gani.Ni lazima kutii na kuheshimu mamlaka za juu.Makonda amejimaliza mwenyewe kisiasa kwa tamaa zake za kijinga,hana wa kumlaumu.
 
Wananchi wamepiga kura hawamtaki.

Unawapangia wananchi wewe nani?

Yaani wapiga kura uamuzi wao wewe unaufanyia judgement kama nani hasa?

Na Magufuli bado hajapita Uchaguzi wa October,anahitaji vijana wa kupeleka wapi?

As if keshashinda tayari of which uamuzi huo wanao wananchi na sio wewe uwafanyie huo uamuzi!

Aisee,deal with your position,madaraka ya wengine waachie waamue,na uamuzi zao wewe huna cha kupangua!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…