Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,720
Kuna kausemi " jamaa kauza nyumba kanunua gari " sasa hana nyumba ila ana gari ya kutembelea ! Ni uuuungwana?? Ukiwa na vyote ni sawa ila nyumba ni utajiri endelevu ila gari ni utajiri pasua kichwa