Kumiliki gari kunaficha umasikini

Kumiliki gari kunaficha umasikini

Walking just because u decided to leave ur car in your driveway or exercising diesnt mean poverty, but walking because you cant afford 400/- daladala fare is poverty!
Everyone has his/her own choice mkuu, kuna mtu amepanga apartment analipa lak5 lkn hana gari. Kuna mwingine amepanga chumba kimoja na godoro tu lkn anamiliki Probox.
 
Mkuu Hivi Punde, bila shaka utakuwa umejikwamua, siku hizi hatutakutana tukigombania dala dala tena manake siku hizi mwenzetu ni stori za magari tu, hongera mkuu usitufungie vioo vyenye tinted ukipita kwenye vituo vya daladala
 
Yani kwenye issue ya mafuta ndio balaa na utaona aibu kuwaomba watakusema vibaya
Nna shost yangu ana gari tulikua tunasoma wote... Sasa siku moja kuna mwanafunz alibanwa na pumu kumfata kumuomba awapeleke akadai ela ya mafuta (wakati huo mgonjwa hana hata fahamu ) lkn alisubiri mpaka alipopewa 10000 ya mafuta ndo akaanza safari.... Yaan nlijikuta naona aibuu nka jiambia Mungu nsaidie nisiwe ivi
 
Duh huyo alikua na roho mbaya aisee
Pengine hakuwa na roho mbaya isipokuwa hali ilisababisha aonekane hivyo, labda bajeti yake ya mafuta aliyoweka ilikuwa na hesabu za kwenda point moja na kurudi tu kwake, mwenye gari anajua siri yake ya mafuta mwenyewe, sidhani kama ni sahihi kutoa hukumu kwake kwa hilo.
 
Back
Top Bottom