Kumiliki gari kunaficha umasikini

Kumiliki gari kunaficha umasikini

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Gari bhana.

Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.

Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.

Gari ni kama shetani fulani.

Gari huficha umaskini kwa kiasi kikubwa sana.
 
hyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh
 
[emoji23] yani ukiwa na gari unakua tegemezi
Gari ina umuhimu mno hata mtu akiugua home au jirani watakuamsha
 
hyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh
Uandishi wako sio mzuri.

Acha nafasi kila baada ya neno, zingatia sarufi.

Samahani kama nimekukwaza!!.
 
hyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh
bora ungewaambia mbovu sababu zingine kuzielewa mpaka uwe mfuasi wa ccm.

mimi nkitaka kwenda kukopa gesi ama sukari dukani kwa mangi naendaga na gari yaani hachomoi kirahisi. gari sometimes inaongeza heshma ata bar husumbuliwi sumbuliwi kulipa Bill
 
Hahahahaha

Gari kitu kingine kaka

Back
Top Bottom