Kumiliki gari kunaficha umasikini

Kumiliki gari kunaficha umasikini

Sio tu kwamba hatujakizoea mkuu.. huku kwetu bana tatizo usafiri wa umma ni mbovu sana kiasi kwamba mtu ukipata vijihela kitu cha kwanza unawaza ujikwamue kwenye hilo balaa..
Gari binafsi ni jini linakula kamshahara ketu.
 
bora ungewaambia mbovu sababu zingine kuzielewa mpaka uwe mfuasi wa ccm.

mimi nkitaka kwenda kukopa gesi ama sukari dukani kwa mangi naendaga na gari yaani hachomoi kirahisi. gari sometimes inaongeza heshma ata bar husumbuliwi sumbuliwi kulipa Bill
Mie na kay holder ya bmw basi boss anajua na X5 sio kunishuku wizi kila siku
 
ila pumabf sana magari jaman!yanamaliza wese sio kitoto!mm nilipiga hesabu sehem nayofanya kazi its like 12 kms,,na kurudi 24!yaan kwa sik inatumika 10000/ya mafuta!while ukpanda daladala natumia 2000 nauli to n fro
Kiuchumi hapo tunasema bora upande usafiri Wa umma,hiyo alfu8 uingize kwingine gari ibaki for emergency
 
Gari bhana.

Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.

Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.

Gari ni kama shetani fulani.

Gari huficha umaskini kwa kiasi kikubwa sana.
Masikini ni mtu wa aina gani? Ukiwa masikini unaweza kumiliki gari? Hata ukipewa bure gari lina gharama zake.
 
ila pumabf sana magari jaman!yanamaliza wese sio kitoto!mm nilipiga hesabu sehem nayofanya kazi its like 12 kms,,na kurudi 24!yaan kwa sik inatumika 10000/ya mafuta!while ukpanda daladala natumia 2000 nauli to n fro
Mimi kwa siku na drive 66kms kwenda na kurudi issue ni moja ukiwa na gari lako time management ni A ukisema ulambe public trans kutoka city cetre labda saa 11 jioni mpaka upate usafiri ufike izo km 33 ujue ni saa 3 usiku mana kwanza utaunga sana usafiri. Na kama utataka kuwahi utaingia gharama kuliko uki drive private.mana bodaboda na bajaji jioni nao bei juu hasa mjini hao bodaboda bado hwajakutengua kiuno ukaingia gharama ambayo ungeweka mafuta ya mwaka hahahaaa
 
ni kweli aisee 66 ndef aisee
 
I live in Mars, I'm not Bruno!
Screenshot_20180917-120529.jpg
 
Back
Top Bottom