Kumiliki gari kunaficha umasikini

Kumiliki gari kunaficha umasikini

Yaani umenikumbusha jana nilikwenda kwenye Pub flani na hawanijui nikanywa hela ikakata..nikanywa tena...mwisho nikamwambia mwenye Pub nitakucheki kesho...na gari nilikuwa nimepaki mlangoni kabisa..hakunibishia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nna jirani yangu gar inatembea tar 28 hari tar 1 au 2 inapaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na tunaishi nnje ya mji huku alafu yeye kila siku lazima aende town namuoneaje huruma!! natamani kumshaur aiuze annue ki paso maana anateseka aisee usafiri wa huku ful kuunga kuunga.
Gari mke wa kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nna jirani yangu gar inatembea tar 28 hari tar 1 au 2 inapaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na tunaishi nnje ya mji huku alafu yeye kila siku lazima aende town namuoneaje huruma!! natamani kumshaur aiuze annue ki paso maana anateseka aisee usafiri wa huku ful kuunga kuunga.
Gari sio kipole pole, lazma uwe na kipato cha uhakika.
 
Ni kweli,ila ukiwa nalo halafu hela ya wese inapiga chenga,unaweza jikuta unapungua uzito bila hata ya mazoezi...
 
Lengo la kununua gari ni kuficha umaskini au kutumia pesa husika kujikwamua na umaskini hatimaye umiliki gari?
 
Ningekuwa sijawahi miliki gari, ningekuwa na nyumba tatu Dar. Gari inakula pesa we acha. Kwa mwezi ukiweka wese la laki tatu ni sawa na pesa ya tofali mia tatu. Kwa mwaka je?
Wachache watakuelewa, wazee wa busara wanakwambia fanya yote gari liwe mwisho. Huwezi kununua luxury kwa mkopo wa benki. Ni hasara juu ya hasara tu!
Always invest in shit that appreciates.
 
Ningekuwa sijawahi miliki gari, ningekuwa na nyumba tatu Dar. Gari inakula pesa we acha. Kwa mwezi ukiweka wese la laki tatu ni sawa na pesa ya tofali mia tatu. Kwa mwaka je?
Kama una gari na unaishi nje ya mji kwa mji kama Dar lazima likufilisi,ila kama unaishi katikati ya mji au mikoani maisha yanakuwa rahisi sana,na gari huwezi kuliona mzigo,just imagine unatembea km 2 au 3 umeshafika ofisi...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaan napataga raha ya ajabu hata teja hafikii

but kunakuwa na sehem unaenda..si ndio!sidhan kama unachoropoka tu hyooo njia ya .pugu😎 mm natafuta kampan niende kula mishikaki ya figo mbele ya mzumbe.....mnaenda mkiwa high....mnakula mziki hatari
 
but kunakuwa na sehem unaenda..si ndio!sidhan kama unachoropoka tu hyooo njia ya .pugu😎 mm natafuta kampan niende kula mishikaki ya figo mbele ya mzumbe.....mnaenda mkiwa high....mnakula mziki hatari
Yeah...mara nyingi naenda kwa mashost, friends, hivooo

Kwani we uko dar?
 
Gari ni Uchawi wa kizungu,mtu anayemiliki passo halafu hana nyumba na mtu anayemiliki ghorofa moja halafu hana gari,mtaani anaheshimika mwenye passo 😀😀😀😀😀😀.
Soma ulichoandika ujione ulivyo mjinga
 
Back
Top Bottom