Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Umejua kunchekesha bibiye😂😂😂😂
nilichoka sana akili within a min nikapata jibu ! tumefika tumesweat hatari..umaskni bwana
Umejua kunchekesha bibiye😂😂😂😂
Subirini tu .....mwakani sio mbaliahahaha...jichange ununue na wewe uje kutusimulia
Hahaha pole sana aiseenilichoka sana akili within a min nikapata jibu ! tumefika tumesweat hatari..umaskni bwana
Nitafurahi ukifanikiwa...unikumbushe nikuchangie hela ya wese...Subirini tu .....mwakani sio mbali
Sio ya wese unichangie ya kununua gari 😀 😀 😀Nitafurahi ukifanikiwa...unikumbushe nikuchangie hela ya wese...
Hahaha!!usijali nistue ukiwa tayari...!Sio ya wese unichangie ya kununua gari 😀 😀 😀
Kweli kabisa maana Trafiki wamepewa mamlaka ya TRA
ila juzi hapa nilisoma habari humu waliambiwa na kiongozi mmoja walegeze
Wewe itakuwa huna gariUnaishi kwa kufurahisha watu. Pumbavu kabisa
duuuh!! pole sana.hyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh
aseee!!!unaniongelea mm hapa !napelekaga wajawazito hspt had nachoka !dah
kwamba nadanganya😀aseee!!!
Hapana uko sawa.kwamba nadanganya😀
Nilipo nunua cc zangu 1500 vvti nilikuwa nasema ntakuwa naenda na gari town job mara mbili 2 kwa week mana nakaa mbali sana kudadeki achana na gari bhana niko radhi nisiweke vocha,nibebe kiporo kwa ajili ya chai na mchana mradi tuu nisikose kuingia town na gari
Ofcoz pia ni kwa sababu ni kifaa ambacho bado hatukukizoea.Only in some African countries
Vile vile gari ni chanzo cha umaskini mkuuGari bhana.
Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.
Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.
Gari ni kama shetani fulani.
Gari huficha umaskini kwa kiasi kikubwa sana.
100%Vile vile gari ni chanzo cha umaskini mkuu
Fanya mpango tununue ni Mimi na wewe tu Ndo hatuna.Natabiri kila atakayechangia hii thread atasema ana gari!wakati wengine ni wazee wa ngondi a.k.a guu vumbi