ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,304
Kuna siku nitanunua gari na mm
Hee kumbe una gariihyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh
Ambao hayajawakuta hawawez kuelewa..Yalinikuta haya aisee.!
Ni balaa usipokuwa na usafiri.!
Fursa hii ngoja niiwahi![emoji125] [emoji125]km una umbo la kiume😀 (muscles) mm sina shida kbs😎!ila usiwe na mke..kuna kipindi ntakuwa natoka usiku!tusije mkwaza bure!
Ukifanikiwa kumiliki GARI kweli ww umeuaga umasikini ila kama unamiliki gari kisha ukaonekana unazo aisee toka kwenye hilo kundi la watu ......kuna tofauti ya GARI na gari(if u know,u know,) NARUDIA kuna tofaut ya GARI na gari"" range rover /passoGari bhana.
Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.
Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.
Gari ni kama shetani fulani.
Gari huficha umaskini kwa kiasi kikubwa sana.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Natabiri kila atakayechangia hii thread atasema ana gari!wakati wengine ni wazee wa ngondi a.k.a guu vumbi
Kabisa aisee, imagine mjamzito kashikwa na uchungu usiku wa manane na kituo cha afya kipo 15 kilomita away. Bila kuwa na usafiri wako unapata taabu sana.Ambao hayajawakuta hawawez kuelewa..
Huyo sio mnafiki.Nna shost yangu ana gari tulikua tunasoma wote... Sasa siku moja kuna mwanafunz alibanwa na pumu kumfata kumuomba awapeleke akadai ela ya mafuta (wakati huo mgonjwa hana hata fahamu ) lkn alisubiri mpaka alipopewa 10000 ya mafuta ndo akaanza safari.... Yaan nlijikuta naona aibuu nka jiambia Mungu nsaidie nisiwe ivi
Kweli Ukiwa na Gari utampata hata NAHUJAGari bhana.
Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.
Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.
Gari ni kama shetani fulani.
Gari huficha umaskini kwa kiasi kikubwa sana.
Ajabu misibani magari yakiwa mengi ni sifa siju tumekaajehyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh
Haaahaaa aseeGari lina raha yake aisee hata kama huna nyumba
Cha muhimu kwenu unatuma matumizi baasi
Hama huko Uswahilini.unaniongelea mm hapa !napelekaga wajawazito hspt had nachoka !dah
Nilitabiri kweli au uongo....Me ndo mtabiri bingwa Afrika mashariki na kati... 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Tusiona na magari tunasemwa huku
Nimeishia kusoma hapo kwenye " jua kali kama lote".hyo ni kweli aisee ila ni mbaya jaman!lulitokea msiba sehem nnayoishi !tunajiandaa kwenda msiban hio saa 7 jua kali kama lote !dada wa kazi anakuja aniambia nje majiran wananisubiri mm wapo kama wa4! eti wanajua ntaenda na gari... nilichoka sana!gari haina mafuta kifupi isingeturudisha!akili ikaja niwaambie hko tuendako na waswas na parking!nikawaambia tutembee tu jaman!arghhh