Umasikini ni mbaya sana huwezi kukosa milioni 15 ya gari!!

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Kwa kweli umasikini ni mbaya sana hutakiwi kukosa milioni 15 au milioni 20 ya gari.

Kwa mentality za kibongo tunaonaga mtu akiwa na gari basi kayapatia maisha au ni tajiri sana.

Lakini tunajidanganya sana, kumiliki gari ya milioni 15 au 20 haikufanyi kuwa tajiri, basi na traffic wanakamatia hapo hapo kwa kutoza faini wenye magari kwa kudhani ndo wenye pesa...."Traffick mna roho za umasikini sana hapa mjini"...

Mshahara wa mtumishi wa kawaida marekani mwenye degree unakua ni kati ya dola elfu 50 hadi dola laki 1 na 20 kwa mwaka kwa mshahara huo utashindwa kumiliki gari?

Hapa kwetu ccm wameidumaza hii nchi miaka 60 tumeshindwa kuwa nchi ya uchumi mkubwa!! Ni aibu hadi leo tunaona kuwa na gari ni utajiri, milioni 15 au 20 kwa mtanzania wa chini ilipaswa kuwa ni pesa ya kawaida tu hata kumiliki magari lilipaswa kuwa jambo la kawaida, lakini ccm hawana nia ya kuwatoa watz kwenye umasikini.Watu hawakupaswa kugombania daladala namna ile na kujazwa kama mifugo tazameni madaladala ya mbagala yanavyojaa, huku yakinuka uvundo wa kila aina, unakuta hadi gari inaenda kushuka abiria wakishuka wote unakuta inanuka mijasho,uchafu na kila harufu za binadam utadhani ni mifugo ilikua imepakizwa huko watanzania hawakustahili haya kabisa, tulipaswa kuwa na taifa angalau mtu ana kipato cha kati cha kumiliki usafiri wake angalau hata ungemkuta akigombea daladala unafaham fika kuwa ni hiari yake tu

Nchi inazidi kuwa maskini, hata wananchi wake wanashindwa kumiliki hata gari za milioni 20!! Halaf kuna wajinga wanasifia govt kuwa inaupiga mwingi!!Unaisifia govt na uchawa wakati hata gari namba A ya zamani huna?

Kumiliki gari ni kitu cha kawaida.sana na inawezekana kabisa kwa watz wengine tatizo ni watawala wenu wana wivu tu kuwa mtafaidi sana wakiboresha maisha yenu na kuondoa makodi ya hovyo hovyo.
 
Bongo hii degree kadhaa tu ndio wanaweza fika 15Mil kwa mwaka hapo ujatoa gharama za kila siku

Kibongo bongo na tulivo na extended families mtu akinunua gari it means kuna steps kadhaa kapiga.

Acha kufananisha na marekani ambako gari ni basic need
Naungana na wew mkuu,
Mtu mwenye take home ya 1M (kibongo bongo wapo wachache sana wenye hii take home )
Akatumia 600k kwa mwezi, anabaki na 400k, ambapo ili afikishe 20M inabid asave pesa hio kwa miaka 4-5, hapo jua mtu anapambania gari tu, No kiwanja no nin,

Kibongo bongo mtu kununua gari la 20M ni ubabe sanaaa
 
Huyu jamaa anajifanya hajui maisha ya bongo

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli umasikini ni mbaya sana hutakiwi kukosa milioni 15 au milioni 20 ya gari.

Kwa mentality za kibongo tunaonaga mtu akiwa na gari basi kayapatia maisha au ni tajiri sana.

Lakini tunajidanganya sana, kumiliki gari ya milioni 15 au 20 haikufanyi kuwa tajiri, basi na traffic wanakamatia hapo hapo kwa kutoza faini wenye magari kwa kudhani ndo wenye pesa...."Traffick mna roho za umasikini sana hapa mjini"...

Mshahara wa mtumishi wa kawaida marekani mwenye degree unakua ni kati ya dola elfu 50 hadi dola laki 1 na 20 kwa mwaka kwa mshahara huo utashindwa kumiliki gari?

Hapa kwetu ccm wameidumaza hii nchi miaka 60 tumeshindwa kuwa nchi ya uchumi mkubwa!! Ni aibu hadi leo tunaona kuwa na gari ni utajiri, milioni 15 au 20 kwa mtanzania wa chini ilipaswa kuwa ni pesa ya kawaida tu hata kumiliki magari lilipaswa kuwa jambo la kawaida, lakini ccm hawana nia ya kuwatoa watz kwenye umasikini.

Nchi inazidi kuwa maskini, hata wananchi wake wanashindwa kumiliki hata gari za milioni 20!! Halaf kuna wajinga wanasifia govt kuwa inaupiga mwingi!!Unaisifia govt na uchawa wakati hata gari namba A ya zamani huna?

Kumiliki gari ni kitu cha kawaida.sana na inawezekana kabisa kwa watz wengine tatizo ni watawala wenu wana wivu tu kuwa mtafaidi sana wakiboresha maisha yenu na kuondoa makodi ya hovyo hovyo.
Kweli umasikini humfanya mtu awe mjinga, wenzako wanawaza nyumba wewe unawaza gari ili uonekane mitaani!
 
Naungana na wew mkuu,
Mtu mwenye take home ya 1M (kibongo bongo wapo wachache sana wenye hii take home )
Akatumia 600k kwa mwezi, anabaki na 400k, ambapo ili afikishe 20M inabid asave pesa hio kwa miaka 4-5, hapo jua mtu anapambania gari tu, No kiwanja no nin,

Kibongo bongo mtu kununua gari la 20M ni ubabe sanaaa
Mshahara wa million Moja unataka kumiliki gari ya nini? Uweke wese la elf.20 kila siku, ulipie parking na service. Ina maana zaidi ya nusu ya mshahara wako kwa mwezi utakua unahudumia gari.

Kiukweli sishauri mtu mwenye mshahara usiozidi million kumiliki gari, atajitesa tu.
 
Naungana na wew mkuu,
Mtu mwenye take home ya 1M (kibongo bongo wapo wachache sana wenye hii take home )
Akatumia 600k kwa mwezi, anabaki na 400k, ambapo ili afikishe 20M inabid asave pesa hio kwa miaka 4-5, hapo jua mtu anapambania gari tu, No kiwanja no nin,

Kibongo bongo mtu kununua gari la 20M ni ubabe sanaaa
Sana tena sana. Unless ujitoe akil.ingia benk vuta 10m ongesea uliyosave miaka 2.ndio unapata ka passo
 
Ndio labda ufanye hivo, au ujitoe akili zaidi ufanye kama vijana wanavyofanya kununua gari za 5M hapa mjin za namba D 🤣🤣
 
Kwa kweli umasikini ni mbaya sana hutakiwi kukosa milioni 15 au milioni 20 ya gari.

Kwa mentality za kibongo tunaonaga mtu akiwa na gari basi kayapatia maisha au ni tajiri sana.

Lakini tunajidanganya sana, kumiliki gari ya milioni 15 au 20 haikufanyi kuwa tajiri, basi na traffic wanakamatia hapo hapo kwa kutoza faini wenye magari kwa kudhani ndo wenye pesa...."Traffick mna roho za umasikini sana hapa mjini"...

Mshahara wa mtumishi wa kawaida marekani mwenye degree unakua ni kati ya dola elfu 50 hadi dola laki 1 na 20 kwa mwaka kwa mshahara huo utashindwa kumiliki gari?

Hapa kwetu ccm wameidumaza hii nchi miaka 60 tumeshindwa kuwa nchi ya uchumi mkubwa!! Ni aibu hadi leo tunaona kuwa na gari ni utajiri, milioni 15 au 20 kwa mtanzania wa chini ilipaswa kuwa ni pesa ya kawaida tu hata kumiliki magari lilipaswa kuwa jambo la kawaida, lakini ccm hawana nia ya kuwatoa watz kwenye umasikini.Watu hawakupaswa kugombania daladala namna ile na kujazwa kama mifugo tazameni madaladala ya mbagala yanavyojaa, huku yakinuka uvundo wa kila aina, unakuta hadi gari inaenda kushuka abiria wakishuka wote unakuta inanuka mijasho,uchafu na kila harufu za binadam utadhani ni mifugo ilikua imepakizwa huko watanzania hawakustahili haya kabisa, tulipaswa kuwa na taifa angalau mtu ana kipato cha kati cha kumiliki usafiri wake angalau hata ungemkuta akigombea daladala unafaham fika kuwa ni hiari yake tu

Nchi inazidi kuwa maskini, hata wananchi wake wanashindwa kumiliki hata gari za milioni 20!! Halaf kuna wajinga wanasifia govt kuwa inaupiga mwingi!!Unaisifia govt na uchawa wakati hata gari namba A ya zamani huna?

Kumiliki gari ni kitu cha kawaida.sana na inawezekana kabisa kwa watz wengine tatizo ni watawala wenu wana wivu tu kuwa mtafaidi sana wakiboresha maisha yenu na kuondoa makodi ya hovyo hovyo.
NAKAZIA 🛠️
 
Back
Top Bottom