Premierleague
Senior Member
- Jun 6, 2025
- 166
- 254
- Thread starter
- #41
Yah kitu nimependa humu ni Kila maudhui na jukwaa lake nimeona jukwaa la mapishi hadi la urembo na utanashatiKaribu sana JF mkuu, ila kila utakachokikuta humu usichukulie serious sana kuna wapishi wazuri chai, hoping soon utaanza kuzifaidi utamu wake😎