Kumbe watu mnafaidi namna hii

Kumbe watu mnafaidi namna hii

Karibu
Hvi ni kwangu TU maana saivi nikifungua Twitter haifunguki nimejaribu hadi kupitia chrome haifunguki sijui shida nin
Twitter naweza sema haipo kabisa binafsi nimehangaika wee nikaenda insta sielewi TikTok ndio kabisa sijui inatoka wapi inaenda wapi
Angalau hii Ina nafuu
 
Jina lako icon yako huna wewe kwani? Vip kule X ulikua unatumia handle gan? Zungumza vZr na moderator
Shida ya X nilikuwa natumia real name na picha picha za kutosha huku pazuri japo najua haimaanishi ni 100% ila angalau Kuna privacy kidogo
Siwezi toa identity maana mi ni mtu potential sana
 
Back
Top Bottom