Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Hii kitu ombea isikupate aiseee.....Siku hizi Ni kuishi kwa timing tuuuu mguu mmoja ndani mwingine njee..... Hata ukioa pia.....
 
Mmmh!! Kaka shemeji sasa maisha gani haya ya kuviziana.
 
Hii kunanihii mmeikazania!!
Kwani kunanihii si kupiga paredi ya utambuzi kwanza ndipo mipango ya harusi ianze kuliko kuuziwa mbuzi kwenye gunia vinginevyo unaweza ukakuta hana nanihii...sasa silaha yako utalenga WAP?
 
Mmmh!! Kaka shemeji sasa maisha gani haya ya kuviziana.
Da shemej hayo ndio maisha unaashi kwa akili ukizama mzima mzima utaishia kulia, utaishia kujinyonga ....

Watu hawatabiriki hata kidogo wengi...ukimpata anaefaa malengo yakatimia unashukuru Mungu....
 
Hapo mwishoni ndio point mpemdwa "kumpata anaefaa"
 
tuache uongo humu ndani,ujinga aliofanya jamaa ni kutomgegeda huyo manzi,lakini all in all inauma sana kuona mtu uliomtegemea kuwa wife katoweka maishani mwako ghafla,hapo machozi yanatoka kwa mengi let alone kuachwa,ila kuna kuona aibu kwa wazazi aibu kwa marafiki,kuna kupotezewa muda na rasilimali nyingine kama pesa nk bado hujawaza jinsi gani utaweza kuadopt maisha mapya hujawaza utapata mwingine vp na lini.,ningekuwa mimi ningelia hadi kamasi asee ningelia mnoo japo huwa sitoi machozi kirahisi,ila ishu ya jamaa hata kama ushamgegeda huyo manzi, wanaume wote tunalia tusiongope.
 
Hapana kugegeda sio guarantee bwana, unaweza ukagegeda na ukaachwa pia.
 
duuuh pole yake hyo kaka ila wakaka wa namna hyo wapo na ndo maana wanakuja juta kma hvo nyakat hzi sio za kujifanya mlokole itakula kwako
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo nalo neno,dawa ya hawa ni makofi tu,ila napo sikuhizi ukijichanganya mwanaume nae anakula makofi,wanawake wasikuhizi mabaunsa kweli

[emoji38][emoji23]
 
Kwakweli hata mimi nimeshindwa kushangaa!! Mwanaume kawa muaminifu ila msanamke ndio msaliti, lakini eti mwanaume hapaswi kuonewa huruma!!
kwakuwa yy anamoyo wa chuma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom