Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
Najua huwezi kushindwa
Asante kwa kuamini katika uwezo wangu, ukiniwezesha naweza.
Najua huwezi kushindwa
"Kila penye uzito na wepesi upo"Umle nani?
Nani akuwezeshe?Asante kwa kuamini katika uwezo wangu, ukiniwezesha naweza.
Yani na huu upendo wa hela yote nilionao bado hautoshi..Kweli kumridhisha mwanamke ni kaziYaani na Kaboom angekuwa hivi nahisi ningekuwa na watoto 8 now, ila doooh!! Pasua kichwa yule mwanaume!!
Wanaume inabidi wajitahidi tu wawe kama huyu ili warejeshe amani duniani. It begins with them.
Nani akuwezeshe?
Ndio nikuulize mana hata namimi sijuiHa! Kwani naongea na nani hapa jamani?
We mzee kwa kupiga chabo hujambo"Kila penye uzito na wepesi upo"
Shimo La Panya Halizibwi Kwa MkateWe mzee kwa kupiga chabo hujambo
Ndio nikuulize mana hata namimi sijui
Mmhhh!Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate
Umeguma vizuri... yani kama imeingia vile... khaaa!!Mmhhh!
Kwani babu unajua kuingiza vizuri?Umeguma vizuri... yani kama imeingia vile... khaaa!!
Hebu njoo nikulenge tuone...Kwani babu unajua kuingiza vizuri?
Kuna vidagaa vidogovidogo huwa vinaingia kwenye anga za kambale... sasa vidude kama hivyo huwa navitumia tu kama asusa. Havina uhusiano wowote na samaki zetu.
Hata hivyo, kama na nyie mnataka kunufaika na hivi vidagaa, tafadhali msisite kunibeep.
Viko vingi sana...
CC Bonny
wanawakeViumbe gani unaongelea mkuu? Binadamu au wanyama?