Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Ndo yenyewe sasa penda kama hujanywa sumu ukapoteza uhai saiv wakat wapo wengi wanakulilia
Haya bwana.
 
Ila nyie vungeni wajanja ila dawa yenu ni mimba alafu mnakimbiwa ,nyie mbadhani kila mtoto aliye telekezwa atakuwa diamond platnumz???ukimwaga mboga mm namwaga ugali,ukiharibu TV mm nauza remoti
Ukinikimbia jua na damu yako umeikimbia, usijejileta tu baadae eti mwanangu hanijali wajati ulimtelekeza kitambo. Kwahiyo kabla haujajifanya duwanzi inabidi ufikirie zaidi.
 
Back
Top Bottom