Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Na wa kuitengeneza ni sisi sisi.
Kavuruga kila kitu mzungu,wakaletwa mambo ya haki sawa na ikapelekea wanaume Leo hii wanadharaulika sana,ukiomba haki ya mapenzi ,majibu ni kwamba tusubiri kwanza tufunge ndoa,kwani mkifanya ndoa hyo itagoma???hata usipo olewa na aliyekutoa bikra ila utaolewa na mtu mwingine
 
Hukumpenda huyo.
Nilompenda sana tena sana.
Lakin sasa yy mwenyewe ashaamua kufanya hivyo mm nimfanyejee.
Nisumbuliwe na maisha na yy pia anisumbue kwa ujinga wakee.
Mwache aendee yakimkuta atajitambua.
 
,
Kwakweli, wameyakompliketisha haya maisha bure tu.
Si mpaka wajue!! Wameshindwa kujibu yao wamekazana na ya wanawake, laiti wangejua wao wakijijibu tu hilo swali then everthing is solved hata wasingehangaika.
Waliambiwa watumie akili, tatizo wanatumia kichwa cha chini[emoji134] [emoji134] [emoji85] [emoji85]

Tehe!, walielekezwa watumie kichwa cha juu, wakawa curious kutaka kujua why not cha chini bila kujua madhara yake.
 
Kavuruga kila kitu mzungu,wakaletwa mambo ya haki sawa na ikapelekea wanaume Leo hii wanadharaulika sana,ukiomba haki ya mapenzi ,majibu ni kwamba tusubiri kwanza tufunge ndoa,kwani mkifanya ndoa hyo itagoma???hata usipo olewa na aliyekutoa bikra ila utaolewa na mtu mwingine
Wacha we!! Yaani mshindwe kusimama katika nafasi zenu alafu msingizie mzungu[emoji134]
 
Kuwa juu yetu then Kututawala ! Mnasahau sisi ndio tunao wawezesha! Na wew ulivyo mbishi nakuombea upate mme Msukuma uchezee makofi mpaka ukae sawa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo nalo neno,dawa ya hawa ni makofi tu,ila napo sikuhizi ukijichanganya mwanaume nae anakula makofi,wanawake wasikuhizi mabaunsa kweli
 
,

Tehe!, walielekezwa watumie kichwa cha juu, wakawa curious kutaka kujua why not cha chini bila kujua madhara yake.
Curiosity killed the cat, sasa wadeal na matokeo ya mabalaa waliosababisha wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: kui
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo nalo neno,dawa ya hawa ni makofi tu,ila napo sikuhizi ukijichanganya mwanaume nae anakula makofi,wanawake wasikuhizi mabaunsa kweli
Ukijitoa ufahamu wa kupiga kofi ujiandae vizuri, kama haujavurugwa hadi ushindwe kusimulia basi atakushitaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom