Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Maskini weee.... Mapenz ni kuzunguzungu! There will always be a surprise from the person you love most! Wiz mtupu poyee mkaka
Always!! Mmmh!
 
Bado wapo na watazidi kuwapo kwakuwa naamini kila binadamu huzaliwa na roho ya upendo na uaminifu so hata kijana wako wa kiume ukimlea vema katika misingi ya kutopoteza roho ya upendo na uaminifu aliozaliwa nao bhas amini atakuja kuwa gentleman hatar sana na atakuletea sifa nyingi toka kwa mkweo atakaemuoa,sisi wengne maisha na malezi mabovu ndiyo yamesababisha tumekosa kuwa na upendo wa ukwel na uaminifu...na ndio maana nlipoachana na mzaz mwenzangu nlimwomba aishi na kijana wetu maana najua sina sifa za kumlea katika malezi yatakayomfanya aje kuwa mwenye upendo wa dhati na mwaminifu.......
Neno

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Love ni kitu ingine alafu yule unayempenda kwa nguvu zako wala hana hata mshipa nawe shubamiti funga flaizi fungua walet.akili kichwani Mungu moyoni pesa mfukoni

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom