Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Bado wapo na watazidi kuwapo kwakuwa naamini kila binadamu huzaliwa na roho ya upendo na uaminifu so hata kijana wako wa kiume ukimlea vema katika misingi ya kutopoteza roho ya upendo na uaminifu aliozaliwa nao bhas amini atakuja kuwa gentleman hatar sana na atakuletea sifa nyingi toka kwa mkweo atakaemuoa,sisi wengne maisha na malezi mabovu ndiyo yamesababisha tumekosa kuwa na upendo wa ukwel na uaminifu...na ndio maana nlipoachana na mzaz mwenzangu nlimwomba aishi na kijana wetu maana najua sina sifa za kumlea katika malezi yatakayomfanya aje kuwa mwenye upendo wa dhati na mwaminifu.......
 
Daah! ila suala la kunyimwa tunda muda wote huo!
Halafu unakuwa unahudumia kwa moyo wote ukijua ni mke..
Hapo ndio panapomliza zaidi + kashamtambulisha hadi kwa ndugu na jamaa!

Lakini mapenzi ni timing tu!
Mwenzako akikuwahi, ndio imekula kwako..
Hata siku moja mzani hauwezi kulingana kihisia... lazima mmoja awe fala kwa mwenzake
 
Huyo kijana ni mmoja wa vijana wa hovyo kabisa kutokea kwa miaka ya hivi karibuni.Unataka kuoa kabla ya kugegedana ili uje ujisifie kwa nani? Kumuonea huruma kijana huyu ni kujitakia kupata dhambi za bure kabisa.Acha alie alie labda atapata akili za kuishi na wanawake
 
Aisee kuna wanawake katili jamani. Angemtumia tu sms kaka wa watu kumwambia mimi na wewe basi nimepata mwingine.

Atakuja jutia sana kwa usaliti aliomtendea kaka wa watu.
Teh teh teeeh!! Labda ndio alikuwa anajipanga jinsi ya kumwambia, ila kumuacha mtu ambae walaa hamjakosana nayo ngumuu.
 
Bado wapo na watazidi kuwapo kwakuwa naamini kila binadamu huzaliwa na roho ya upendo na uaminifu so hata kijana wako wa kiume ukimlea vema katika misingi ya kutopoteza roho ya upendo na uaminifu aliozaliwa nao bhas amini atakuja kuwa gentleman hatar sana na atakuletea sifa nyingi toka kwa mkweo atakaemuoa,sisi wengne maisha na malezi mabovu ndiyo yamesababisha tumekosa kuwa na upendo wa ukwel na uaminifu...dah
Umeongea kitu cha msingi sana. Malezi,malezi,malezi. Ila mzazi unaweza kujitahidi na dunia nayo ikajitadidi alafu dunia ikawa na nguvu!!

Ila wanasema 'mlee mtoto katika njia ipasayo, nae hatoiacha hata atakapokuwa mzee'
 
Daah! ila suala la kunyimwa tunda muda wote huo!
Halafu unakuwa unahudumia kwa moyo wote ukijua ni mke..
Hapo ndio panapomliza zaidi + kashamtambulisha hadi kwa ndugu na jamaa!

Lakini mapenzi ni timing tu!
Mwenzako akikuwahi, ndio imekula kwako..
Hata siku moja mzani hauwezi kulingana kihisia... lazima mmoja awe fala kwa mwenzake
Kanyimwa tunda kumbe wajanja wanajilia tu masikini, ila Mungu atamjaalia tu nae wake maybe kamuepusha na balaa kubwa zaidi huko mbeleni.

Mapenzi haya jamani!!!
 
Back
Top Bottom