Bado wapo na watazidi kuwapo kwakuwa naamini kila binadamu huzaliwa na roho ya upendo na uaminifu so hata kijana wako wa kiume ukimlea vema katika misingi ya kutopoteza roho ya upendo na uaminifu aliozaliwa nao bhas amini atakuja kuwa gentleman hatar sana na atakuletea sifa nyingi toka kwa mkweo atakaemuoa,sisi wengne maisha na malezi mabovu ndiyo yamesababisha tumekosa kuwa na upendo wa ukwel na uaminifu...na ndio maana nlipoachana na mzaz mwenzangu nlimwomba aishi na kijana wetu maana najua sina sifa za kumlea katika malezi yatakayomfanya aje kuwa mwenye upendo wa dhati na mwaminifu.......