Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Sjui uje kabisa hapa nilipo uniombee kwa ukaribu zaid maana naona maombi ya mbali kama pepo litachelwa kutoka vile
Ama kweli hilo ni hekalu la mapepo, hadi unayabembeleza hivyo!!!
 
Mara nyingine tuna dhan mapenz ni kitandan tu! Japo kuna nafasi ya kitandan pia (sex) Kufanya mapenz sio ishara ya asilimia Mia ya upendo.
Matendo mema ya huyo jamaa yatamfanya atakumbukwe huko mbele na huyo dada. Tena ikitokea basi huyo dada akipata shida za kawaida katika maisha atadhan pengine kwa jamaa wake wa zaman labda mambo yangekuwa vema. Kanuni ya maisha duniani inatutaka kuto watendea kwa ukorofi wenzetu maana mwisho wa siku nguvu ile ya kutenda itakurudia kama adhabu.

Kama umewahi kumtenda mtu jipange muda wako unakuja hata kama miaka kadhaa imepita. ( karma lows of leaving)
Nivema kuishi na kujitahid kutoumiza watu wa jinsia zote. Tazama majambaz , madictetor wakutusha mwisho wao unakuwaje, hilo ni somo pekee la kuonyesha mwisho wa ubaya ni nn.
Ukimliza mtu mwishowe jipange kulia pia!
Pole zake huyo jamaa! Kuna siku atasahau hayo ila huyo dada kamwe hawez kusahau alicho fanya.
 
Maybe huyu jamaa alishamtenda mtu huko nyuma hivyo haya ni malipo yake[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Labda! Ila kwetu huko ni gizani I mean ni siri yake sisi hatuwez kujua! ! Ila anaye soma post hii ajitahid asiishi kama mnyama!!!
Maana mwisho wake uko waz!![emoji125]
 
Mwanamke si dadayangu, siwezi kuweka naye ahadi ya kutokula tunda mpaka ndoa. Never
 
Pole zake huyo jamaa! Kuna siku atasahau hayo ila huyo dada kamwe hawez kusahau alicho fanya.
Kuna watu, huwa hawajifunzi, huyu ndezi akiendelea na uboya wake, atakuwa kama wale ambao kila siku wanalizwa wakati wengine kazi yao ni kuliza tu watu.

BTW, ukitendwa unatakiwa ujifunze, haikusaidii lolote kusema, "ipo siku na wewe ulitendwa zaidi ya ulivyonitenda".. wewe inakusaidia nini sasa.

Kosa ni mara moja tu.
 
Mbona amesha elewa!! Next time atafanya vema!! Wa dadaz ni kama maembe, wakati wewe unayaona machanga wenzio wana yala kwa chumv.[emoji23]
 
Hahaaaa!! Mkwe bwana!!
Haya karibu sana mkwe.

Hilo ndio tatzo lako mkwe wangu unancheka wakat nmeaamua kurud kundin maana majina yote mabaya umeniit sasa nataka kuona utukufu wa mungu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe nimekuita majina yoote mabay!!
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Acha tu karoho kalikua kanauma ni vile nlikua na ushetan ndan sikujal
 
Back
Top Bottom