Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,601
- 6,330
Upendo ni vitendo sio maneno matupu na hivyo vitendo vinahitaji Hela sio maneno matupu.
Jitafute kwanza wewe ndo uanze kutafuta mapenzi.
Mapenzi yanahitaji uwe na Hela ya kujihudumia wewe binafsi na kuhudumia mpenzi wako wa kike
Na nyie wadada wasaidieni hao wanaume wanaojitafuta Kwa kuwakataa Kwa staha bila wao kujua Ili wasiumie sana