Ukimaliza kufanya mapenzi usikimbilie kuoga.

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,427
Reaction score
2,766
Natumai mko wazima wa afya tele.

Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni.
Nikamuuliza kwanin?
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka.
Mwenye uelewa na jambo hili anieleweshe.
 
Maneno uliyoambiwa yana mchanganyiko wa ukweli wa kiafya na hofu zisizo na misingi ya kitiba.

Ni kweli kuwa baada ya kushiriki mapenzi, mwili unakuwa umefanya mazoezi makubwa yanayoongeza mapigo ya moyo, joto, na msukumo wa damu. Kupumzika kwa dakika 15 hadi 30 kabla ya kuoga kunasaidia kurudisha mifumo hii katika hali yake ya kawaida ya utulivu.

Vilevile, ushauri wa kuanza kuoga kuanzia miguuni kuelekea juu una mantiki ya kisayansi ili kuzuia mshtuko wa ghafla wa halijoto mwilini (thermal shock).

Ukimwaga maji ya baridi ghafla kichwani mwili ukiwa bado una joto, mishipa ya damu ya kichwani inaweza kusinyaa kwa kasi na kusababisha kizunguzungu au mabadiliko ya ghafla ya shinikizo la damu.
Hata hivyo, kauli kwamba jambo hili ndilo linalowaua wanaume vyumbani ni ya kuogofya na haina ukweli wa moja kwa moja.

Wanaume wanaofia magesti mara nyingi hupoteza maisha kutokana na matatizo ya moyo yaliyofichika au matumizi hatari ya dawa za kuongeza nguvu za kiume kiholela, ambazo husukuma moyo kufanya kazi kupita kiasi, na si kwa sababu tu ya mtindo wao wa kuoga.
 
Natumai mko wazima wa afya tele.

Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni.
Nikamuuliza kwanin?
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka.
Mwenye uelewa na jambo hili anieleweshe.

Yaani wanaume wengi wafie gesti tu na wala si mahali pengine majumbani mwao au magetoni mwao??

Mbona sasa hatuoni vifo vya wanaume waliooa wakifia sana mabafuni majumbani mwao, watu wako na toilets vyumbani kabisa...

Ukiambiwa jambo uwe unachukua muda kujiuliza maswali basic...
 
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka
(Mwisho ku kunukuu.)

Kabla hajaondoka alioga au kaenda kuoga kwake?

Maana mpaka anakuambia hivyo lazima ulikua umekimbilia bafuni
hahahahah
hiyo ni tafsiri yako. Sio ukweli nilikuwa napiga naye tu story.
 
Yaani wanaume wengi wafie gesti tu na wala si mahali pengine majumbani mwao au magetoni mwao??

Mbona sasa hatuoni vifo vya wanaume waliooa wakifia sana mabafuni majumbani mwao, watu wako na toilets vyumbani kabisa...

Ukiambiwa jambo uwe unachukua mida kujiuliza maswali basic...
asante kwa ushauri wako.
 
Natumai mko wazima wa afya tele.

Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni.
Nikamuuliza kwanin?
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka.
Mwenye uelewa na jambo hili anieleweshe.
Nipe namba zake, mkuu au kama yuko hapo mtaa wa afya nipe location nije nimuulize...
 
Natumai mko wazima wa afya tele.

Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni.
Nikamuuliza kwanin?
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka.
Mwenye uelewa na jambo hili anieleweshe.
ok. :1Head:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom