Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Hiyo parking naona sasa anataka kuleta la kwake menyewe, haiwezekani asijali mpaka iwe ya kijani.
Na itabidi nimdai yeye sasa maana nilishajiandaa kisaikolojia kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Teh!, ifike mahali watu wa sign prenuptials na viongezwe vipengele kama anaekuwa wa kwanza kukosa ndie alipe mwenzake.

espy Heaven Sent
Hahahaaaa! Mbona tutaheshimiana, ila sasaaaa itabidi na mahusiano yawe ya mkataba, after sometimes mnarenew mkataba au mnauvunja[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hii umetunga. Afu jana nlikuwa naandika mistari ya kukutongoza.. Leo ndio naimalizia afu nitakutumia. Hadi kijasho chanitoka
Wish ningetunga!!
Nimeghairi, njoo unitongoze face to face at lunch.
 
Ngumu mno,mcharuko wana roho za kipekee,unaweza kushea nguo na mwezio?(yaan nguo zako mali za rafiki zako pia),mikufu,bra,viatu yaan hautakiwi kuwa mchoyo wa kila kitu hata mwili wako
Damn!! Kumbe kazi ngumu hivyo[emoji134] [emoji134]
 
Ifikie mda hii jinsia ya kiume awe anapewa mtu anae weza kukabiliana na mikimikiki ya maisha unawezaje kukaa na mwanamke kwenye mahusiano usiuone ndani? alf unapata wap mda wa kuanza kulia lia wkt wapo wengi sana wazuri zaid ya huyo,?.binafis cwez nlichezewa akili nikaumia sasa iv cna mapenz tena na mwanamke I hit and run
Yaani utendwe na mmoja ila hasira uwahamishie wengine!!
 
Me yenye mnato na inayong'ata au kung'angania au kuifuata juu, sitaona ajabu kulia.
 
Huyu jamaa ni lazma atakua amelza m2 hapo nyuma(mwanamke)kwhy nayy kalpzwa kiivo...mi hii k2 ishawah ntokea nliliza badae nkalzwa

Yan malpo ni hapahapa dunian!!
Oooh kumbe inawezekana eeh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom