Humu ni JF, story za ukweli akafungue bible huko[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haki yo nuts!!!
Watakua vijana wanaolamba lips haoBasi yamerudi mkuu.
Sisi wajanja tumeshajua lengo la kuanzisha huu uzi ni kutufahamisha una boyfriend wako aliyekutoa out na kwa hiyo wewe sio bikira.
Yani uende sehemu kupata dinner na basha wako... afu kidume msichokijua kabisa kianze kulia eti kisa mwanamke... afu kikaondoka na kidume chenzake kizembe... Sasa sisi tunajiuliza story zote hizi ulizipatia wapi wakati mwathirika usiyemjua kishaondoka na michozi yake???
Au unataka kutuambia Nifah kashaanza kumwaga michozi ya The bold
CC: Mbea mwenzio Heaven Sent na vishamba vyenzio Numbisa na emmyta
Wakurugenzi Bonny na Raimundo mkuje huku kuna mswada wa machozi unaendelea huku.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sisi wajanja tumeshajua lengo la kuanzisha huu uzi ni kutufahamisha una boyfriend wako aliyekutoa out na kwa hiyo wewe sio bikira.
Yani uende sehemu kupata dinner na basha wako... afu kidume msichokijua kabisa kianze kulia eti kisa mwanamke... afu kikaondoka na kidume chenzake kizembe... Sasa sisi tunajiuliza story zote hizi ulizipatia wapi wakati mwathirika usiyemjua kishaondoka na michozi yake???
Au unataka kutuambia Nifah kashaanza kumwaga michozi ya The bold
CC: Mbea mwenzio Heaven Sent na vishamba vyenzio Numbisa na emmyta
Wakurugenzi Bonny na Raimundo mkuje huku kuna mswada wa machozi unaendelea huku.
Utaitwa central very soon...Kati ya watu wachokozi wewe ni rais wao
Hivi unajisikiaje kuwapakazia wanaume namna hii?? Mwwanaume utaliaje sababu ya K?? K kitu gani bhana?? Mbona mbuzi anaianika mchana kweupe tena na kamkia anakibinua juu muiangalie mtakavyo???[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dogo hebu nenda kafanye homework huko, niache na bikra yangu.
Utaitwa central very soon...
Mkuu sio wote wa mjini wamekengeuka, bado wapo waliolelewa wakaleleka.Kabla sijajibu swali lako nadhani neno exposure umelielewa? wanawake wa mjini wana mbinu nyingi sana na akili nyingi sana za kumlaghai mwanaume. Kwa mwanaume wa kawaida wa mkoani hawezi kujua mbinu hizi na kwa kweli atakua vulnerable na wizi wa wanawake wa mjini. Kwa urahisi wa rejea ni wapi umesikia mtu wa mjini akaambiwa mambo ya kijinga kama kusubiri game mpaka siku ya ndoa? huku mjini huwaga tunatia mimba kwanza alafu ndio tunaoa, nadhani elimu hiyo ndogo ya mtaani inakutosha kwa leo.
Shemeji maswali gani haya tunaulizana tena jamani!! Yaani kooote huko umeona hapo tu!!!
Ni kweli kabisa, watu wengine wakishatendwa maumivu yao huamishia kutenda wengine. Kupenda mahali pasipo sahihi inauma sana.its sad, inaonekana the man was a good guy akaangukia kwa bitchy(wrong) woman, si ajabu huyo mwanamke alimchuna hela huyo mwanaume mpaka bhasi, situation kama hizo mara nying husababisha wa2 wawe katili kimapenzi espy
Ni ujinga tena uliopitiliza kumpenda mwanamke mpaka unalia......hiyo huduma ni kwa wale waliwao Tu!Kumbe kupenda ni ujinga!! Maisha bila upendo yafaa nini?
Mimi ni afande...Nikuulize swali?kuna afande handsome huko(mzuri kwa matumizi)?
Haha haha haha haha hahaha nimejichekea huku khaa
Duuuuh!! Hope atarecover na hatokuwa katili jamani.Wapo wengi aisee,ila huyo jamaa akimaliza kilio ambacho kinaweza kumchukua hata miaka 2,akirudi uringoni anakuwa kama simba,atawapangisha msululu mademu kwa machozi.Nae atakuwa mlizaji na katili no 1.
Hahahah!Hivi unajisikiaje kuwapakazia wanaume namna hii?? Mwwanaume utaliaje sababu ya K?? K kitu gani bhana?? Mbona mbuzi anaianika mchana kweupe tena na kamkia anakibinua juu muiangalie mtakavyo???