Hahahaaa!! Eti atakuwa ndugu yake!!
Duuh inaumiza sana, lakini pia siwalaumu, huoni hata wanaume wakiwa na hali za kawaida huoa wa kawaida wenzao, maisha yakibadilika ndio anaona haendani na mkewe na kuanza visa na michepuko.
Ni hatari sana pale unapo upelekea moyo wako ktk mapenza. Vijana yatupasa kuchunga sana.Hii dunia tumeivuruga kweli!!
Hahahaaaa! Mbona tutaheshimiana, ila sasaaaa itabidi na mahusiano yawe ya mkataba, after sometimes mnarenew mkataba au mnauvunja[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Zoba
Kuna yule baba alimpiga mwanae hadi akazimia(nusu amuue) kisa alikataa kula mboga za majani.Nakuona jinsi na wew unavyo jitahid kuwatetea dada zako ! Ukoo mmoja nini? Yani nyie mna roho ngumu sana aisee ndio maana mimi huwa nikiwashika siwaonei huruma! Hivi tu mfano kuna mama mmoja juzi kati hapa naangalia taarifa ya habari Eti kamchoma mwanae wa miaka 8 kwa malailoni na mafuta ya taa mikono yote miwili! Kweli??? Mwanao wa kumzaa?? Chaaaa
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ni hatari sana pale unapo upelekea moyo wako ktk mapenza. Vijana yatupasa kuchunga sana.
Pia hakuna mwanamke ambae anaweza kukaa muda mlefu bila ku duu, maana akipata mchepuko kidogo aka duu, lazima apagawe na kuyasahau maneno yako, maana maneno hata yange kua matamu vipi ila hayawezi kufikia ile kitu,
Yaani inakua x10 kitu mtu anapewa ongeza na maneno kwenye 5×6 Kwann asikusahau??
Uwiii sipati picha nimesaini leo alafu keshokutwa nakutana na mr right!! Nitatamani dunia ipasuke nitumbukie, na siku hazitosonga. Kuuvunja napo haiwezekani maana nitaingia hasara[emoji134] [emoji134] [emoji134]Kwa yanayoendelea wengine watapendelea iwe hivyo kuliko kuwa stuck na mtu, na adabu itatawala.
Kuna yule baba alimpiga mwanae hadi akazimia(nusu amuue) kisa alikataa kula mboga za majani.
Ndio ni bahati mbaya.Ni sawa sasa bila mboga za majani si mtoto atapata utapia mlo? Safi kabisa sema kibaya tu alizidisha kipigo kwa bahati mbaya ! Je na yule dada ako alizidisha mafuta ya taa na makaratasi kwa bahati mbaya mpaka mtoto akaiva?
Nitaonja hadi nitakapompata aliyetulia, wawe watatu, wawe mia sawa tuSasa ndugu utaonja wangapi?
Ndio ni bahati mbaya.
Je yule baba alowaua wanae kwa kuwanyonga na mkewe ni bahati mbaya?
Ndo hivyo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kumbe ndio inakuwaga hivyo!!
Kanti weiti, nitakufungulia thread hata kama ni saa8 usiku.
Hata mimi nisipofunga ndoa na atoto wa JF nitalia sana![emoji1] [emoji1] [emoji1]Na nisipofunga nae ndoa nitalia sana.