Nilifanya chaguzi sahihi mkuu now ndoa yangu ina miaka 11Hope wewe mambo hayajakuendea kombo huko ulikoolewa, maana huwa tunaaminishwa kuwa karma is a biach!!
Na hiyo njia ndio njia sahihi? Kwahiyo arsenal watumie mbinu chafu kupata kombe?Hatutetei dhambi ila hatutaki kua kama arsenal, kila mwaka badala ya kupigania ubingwa tunapigania top 4 wakati wenzetu wanachukua ushindi.. Hapana kwakweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mhhhhhhhhhh hii story mbona kama ya mtu flani hivii....
Mapenzi hayachagui jinsia
Wanasemaga eti mwanaume anaoa tu akitaka kwa mantiki hii sasa sijui huwaga ni kweli au vipi
Ooooh!!Nilimuacha coz niliona tungeoana tusingedumu kwa mambo mawili
Mosi:
Kazi yake ni baharia anaweza akasafiri kwa kuanzia miez 6 hadi mwaka,sikuwa nalipenda hili ingawa ndio yk
Pili:
Alikuwa anakaa kwao na mm sipendi kukaa ukweni kwa kweli
Ukikaa ukweni maugomvi na mawifi hayaishi yan
Huyu siwez kumwacha kwanza tumeshAkuwa watu wazima now ndoa yetu ina miaka 11
Huyo mwanaume ni bwege aisee, kuna vitu vya kulia, chozi la mwanaume halidondoki bure aisee, labda uwe ni msiba wa mtu wa karibu sana.Aisee kuna wanawake katili jamani. Angemtumia tu sms kaka wa watu kumwambia mimi na wewe basi nimepata mwingine.
Atakuja jutia sana kwa usaliti aliomtendea kaka wa watu.
hehehe lazima nitimize azma mkuu,ni mwendo wa ubedui tu,hamna namnaDuuuh!! Punguza hasira mkuu.
We mwenyewe mmbea... Umecomment vip kam si umbea umekufanya usome[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wanawake kwa umbea...
Ndo vile tena itabidi tumchukulie poa tu babu yetuNa haipati hadi anakufa, kwahiyo hizi stress tuzivumilie tu hadi arest in peace.
Nilikuwa naogopa mkuu, yaani we acha tuOoooh!!
Lakini kwanini hukumpa taarifa?
Asante mkuuHongera mpendwa, na Mungu azidi kuwaimarisha.
Mama vingine vinatokea tu wala haupangi!! Vipi wewe haujawahi kubomoa moyo wa mtu?Haka katabia naona kanazidi kukua,yani kama fashion flan hivi...
Sio vizuri, kwanini kwa maksudi unamua kubomoa moyo wamtu asie na hatia kwako?
Anyway malipo ni hapa hapa duniani,mahesabu ni ahera