Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,009
Vipi nyumba imefikia wapi?
Kwahyo hilo ndio la msingi
Vipi nyumba imefikia wapi?
Yes ... kupima ni muhim lazima ujue unae mpenda yukoje ?je anakupa raha au ndo anaongeza matatizo ..? Inabid utambue pia kama ana weza kushirikiana na wewe katika jambo lolote lile yaana akupe support .Kumbe kupenda unaweza kupima eeh!!
Mmmh!! Haya bwana.Yes ... kupima ni muhim lazima ujue unae mpenda yukoje ?je anakupa raha au ndo anaongeza matatizo ..? Inabid utambue pia kama ana weza kushirikiana na wewe katika jambo lolote lile yaana akupe support .
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hhahahaha,ndo maana nimeshauri awe kawa waingereza walikuwa na makoloni mengiAhahaaahaaa nani wakumuacha huyo mwanamke (wanawake wako kama maembe wakati wewe unasubiri liive wenzio wanakula na chumi)
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Ndo hvyo makoloni yanatakiwa,na inatupasa tuishi mguu nje ndani yaniUnajua wanawake ni victims wakubwa wa haya mambo ndio maana mtu anaamua kuwa na makoloni yake mubashara, moja likizingua anakuwa na lingine la kumpooza, kuliko umejitoaa alafu mtu anakuja kukuambia simple tu "i cant mary you" damn!!!
Yeah umeongea kitu kweli [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Pigo la hsia hlo... Kuwa mwanaume haimaanishi kuwa na moyo wa chuma usiopata maumivu..... Mwanadam yeyote yule mwenye hsia lazma apate maumivu anapopata pigo sema tunatofautiana in how we copy with stress, wengine wanalia, kujiua na manunda wanapiga kmya huku wakipanga mashambuliz ya visas
[emoji624] tuvae vinyago tujifanye kama vile hatusikii wanaumeNdo hvyo makoloni yanatakiwa,na inatupasa tuishi mguu nje ndani yani
Kichwa cha nyoka hakibebi mzigoHahaa wengi wao hawasomi alama za nyakati sio
Huyo kijana ni mmoja wa vijana wa hovyo kabisa kutokea kwa miaka ya hivi karibuni.Unataka kuoa kabla ya kugegedana ili uje ujisifie kwa nani? Kumuonea huruma kijana huyu ni kujitakia kupata dhambi za bure kabisa.Acha alie alie labda atapata akili za kuishi na wanawake
Hahahaaa!! Eti atakuwa ndugu yake!!Aaaah ka mwaka na miezi 4 tu ! Mwenzake mmoja nahisi atakuwa ndugu yake maana akili zao Kama zinafanana huyu alisomesha mpaka kufika chuo mwaka wa 3 pale Moshi ushirika alafu ghafla demu kabadilika kumbe alisha pata kamsela ka Law jamaa akapigwa chali ! Demu alimwambia Eti hawaendani na yeye kisa msela fundi gerej wakat ndie alie msomesha miaka 3 kwa pesa hiyo hiyo ya Oil ! Very sad