Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Kweny hio picha yako wewe ni yupi?nitafanya nn Kama wote ukoo uleule wa Hawa
Unaeminya au unayeminywa?
Kweny hio picha yako wewe ni yupi?nitafanya nn Kama wote ukoo uleule wa Hawa
At least ukila mzigo Kuna relief unaipata sio Sawa na kutoka patupu nahisi kutokula ndo kulimfanya alie trust meKwani kula mzigo kunabadili uhalisia?
Huenda ikawa hata huyo alitokea huko mwisho wa siku kalia kwa sautiJambo lolote linalohusu mimi na wewe ni jambo kubwa kupita unavyodhani, ni vile tu machozi yalidondokea ndani siyo kama huyu jamaa wa kwenye thread aliyelia kwa sauti.
HeeeeeeUnawaza mbaliiii mwenyewe sina maana hyo hata
Huenda ikawa hata huyo alitokea huko mwisho wa siku kalia kwa sauti
Pole yako jamaa angu ila usijar malipo nihapahapa mungu atakupa muke mwema cha kufanya vuta subira
Unawaza mbaliiii mwenyewe sina maana hyo hata
Sawa nimeachaUache michepuko.
Na ndiko na wewe unakoelekea ujueUkilia kwa sauti mbele ya watu aibu, sa si unaona anavyozungumziwa humu!
Halafu huyo alipoambiwa tu alianza kulia.
Na ndiko na wewe unakoelekea ujue
We subiri tuNaomba usinifanyie hivyo kabisaaa.
We subiri tu
Binti yetu ni zao la ndoa takatifu, mimi na baba yake tulisubiri hadi ndoa.