Wapo tena wengi sana si unajua tena mapenzi mubashara bhana ,we kuna wakati watu wanapendana mbaka wanakuwa mateja Wa mapenzi,sasa jiulize kikitokea kitu kama hicho cha kuachwa bila sababu maalum ,matokeo yake ni machozi na mwisho utasikia kifo ,chezea mapenzi weye ,na mm naye nilijikuta nataka kujichanganya ,ila mmmmhhh mapema nikaona ujinga huu kwa ulimwengu huu Wa kidigital ,hapana yatupasa tuwe makini sana ,watu sasa hivi wanakuwa na makoloni kibao,hili likizingua anahama,so guys let's be serious guys
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji7]Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo
Ahsante!Pole sana.
Yeah,why tuishi kwa mateso hvyo,inabidi mguu nje ndaniSasa maisha gani hayo!!
The great question I have never answered is what women want from us.
Nitakufuata hukohuko.
Si mpaka wajue!! Wameshindwa kujibu yao wamekazana na ya wanawake, laiti wangejua wao wakijijibu tu hilo swali then everthing is solved hata wasingehangaika.And what do you guys want from women?
Unapong'ang'ania kusema 'mybe' kwani ya atoto wangu yanakuhusu nini mpaka umsemee?? una uhusiano gani na atoto??kwani mnajuana??[emoji1] [emoji1] [emoji1]............Mwache atoto wangu please!!![emoji1]Ukiacha umbea maybe, nasema tena maybe.
Tusiendekeze ujinga,unaona sasa jamaa angewekeza pesa zake ,angefanya mambo take ya mhimu na kutengeneza maisha mazr,kahangaikia mwanamke anaekuja mkataa mwishoni,alafu huwa wana maneno matamu nwanzoni,oooh baby we ndo mwanume wangu wa maisha,kumbe moyoni wanasema ngoja nikuchune mjinga wewe[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Aaaah ka mwaka na miezi 4 tu ! Mwenzake mmoja nahisi atakuwa ndugu yake maana akili zao Kama zinafanana huyu alisomesha mpaka kufika chuo mwaka wa 3 pale Moshi ushirika alafu ghafla demu kabadilika kumbe alisha pata kamsela ka Law jamaa akapigwa chali ! Demu alimwambia Eti hawaendani na yeye kisa msela fundi gerej wakat ndie alie msomesha miaka 3 kwa pesa hiyo hiyo ya Oil ! Very sad
Kwakweli, wameyakompliketisha haya maisha bure tu.Afadhali yako wewe kidogo umeelewa, naona wenzako wamekuja juu humu kisa mwenzenu amemlilia demu wake. Hebu kuweni na moyo mwepesi sometimes, na sio kuwa wagumu tu all the time. Mtaongeza siku za kuishi. 🙂
Na imevulugika sana yaniHii dunia tumeivuruga kweli!!
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, kwahiyo tunatoka ukoo mmoja, na ktk ukoo wetu hakuna kuolewa na wavulana.Unapong'ang'ania kusema 'mybe' kwani ya atoto wangu yanakuhusu nini mpaka umsemee?? una uhusiano gani na atoto??kwani mnajuana??[emoji1] [emoji1] [emoji1]............Mwache atoto wangu please!!![emoji1]
Tenda wema nenda zako, utalipwa na BWANA.Tusiendekeze ujinga,unaona sasa jamaa angewekeza pesa zake ,angefanya mambo take ya mhimu na kutengeneza maisha mazr,kahangaikia mwanamke anaekuja mkataa mwishoni,alafu huwa wana maneno matamu nwanzoni,oooh baby we ndo mwanume wangu wa maisha,kumbe moyoni wanasema ngoja nikuchune mjinga wewe[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, kwahiyo tunatoka ukoo mmoja, na ktk ukoo wetu hakuna kuolewa na wavulana.