Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Duuu...iliwah kunitokea.
Ila wala sikujali.
Niliona ya kawaida tu.
Coz nikikua na uhakika kuwa nitapata mwengine ndan siku mbil na mzur zaid manake hao mashoga zake wenyewe walikua wakijikanyaga.
Mara ubuyu mara pipi sijui ndimu kashata.
Lilikuja bonge la toto.
 
Pigo la hsia hlo... Kuwa mwanaume haimaanishi kuwa na moyo wa chuma usiopata maumivu..... Mwanadam yeyote yule mwenye hsia lazma apate maumivu anapopata pigo sema tunatofautiana in how we copy with stress, wengine wanalia, kujiua na manunda wanapiga kmya huku wakipanga mashambuliz ya visas

This goes to all men in here walomshangaa mwenzao.

Tena wangejua mwanaume akilia anaonekana m sweet. [emoji124]
 
Duuu...iliwah kunitokea.
Ila wala sikujali.
Niliona ya kawaida tu.
Coz nikikua na uhakika kuwa nitapata mwengine ndan siku mbil na mzur zaid manake hao mashoga zake wenyewe walikua wakijikanyaga.
Mara ubuyu mara pipi sijui ndimu kashata.
Lilikuja bonge la toto.
Hukumpenda huyo.
 
This goes to all men in here walomshangaa mwenzao.

Tena wangejua mwanaume akilia anaonekana m sweet. [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti msweet!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Uwiii sipati picha nimesaini leo alafu keshokutwa nakutana na mr right!! Nitatamani dunia ipasuke nitumbukie, na siku hazitosonga. Kuuvunja napo haiwezekani maana nitaingia hasara[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Aaaah lazima adabu ishike mkondo wake.


Hahaaa!, acha tu. Ndo mwanzo wa kuanza kuangalia pembeni badala ya kumwangalia mwenzio usoni.
 
Kuwa juu yetu then Kututawala ! Mnasahau sisi ndio tunao wawezesha! Na wew ulivyo mbishi nakuombea upate mme Msukuma uchezee makofi mpaka ukae sawa
Na nilivyo na bahati na wasukuma wapole!!
Hili dua lako lishindwe na lilegee katika jina la Yesu. Amen.
 
Hahaaa!, acha tu. Ndo mwanzo wa kuanza kuangalia pembeni badala ya kumwangalia mwenzio usoni.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukimuangalia unatamani urudishe siku nyuma.
 
  • Thanks
Reactions: kui

Similar Discussions

Back
Top Bottom