Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Huyo kijana ni mmoja wa vijana wa hovyo kabisa kutokea kwa miaka ya hivi karibuni.Unataka kuoa kabla ya kugegedana ili uje ujisifie kwa nani? Kumuonea huruma kijana huyu ni kujitakia kupata dhambi za bure kabisa.Acha alie alie labda atapata akili za kuishi na wanawake
umenivunjaa mbavu zang

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Umependa eeh! Bora umeondoa ile lipstick, hii ya sasa hivi bomba umetokelezea.
Kwani ile ilikuwa na nini?
Yaani hadi niondoe ndio unisifie!! Kweli hunitakii mema.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ssa yye Kama hakuwa tayar kuoa angemuacha kuliko kumweka binti muda woote huo tena akiwa na hisia kamili.
 
Wakati mwingine ni bora kunyamaza kwani si kila ambacho nisichokipenda mimi na kwako ni hivyo labda mwenyewe uliiona ile bomba sana hivyo nikaamua kuuchuna tu.

Kwani ile ilikuwa na nini?
Yaani hadi niondoe ndio unisifie!! Kweli hunitakii mema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom