Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Utaumia ndiyo na hasira tele lakini kuangusha chozi Hmmmm! ila binadamu tunatofautiana.

Unajua ile ukipenda na kutrust too much, ukiambiwa jambo unaamini tu, kumbe mambo yashaharibika
 
Mxeeeeew, kwangu zawad hupatikana baada ya mgegedo tena haizid ya tsh elf 2 tena twice a year, hlf inaonekana ww ni gold digger espy
Khaaaah!! Mkuu punguza ukauzu, unapaswa kutoa sanaaa, yaani utoe mpaka BWANA akubariki.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mh!, huyu mtoto, sijui alipotelea wapi, halafu Valentine ilikuwa juzi tu..
My dear niliagwa anakuja kwako nami ikabidi tu niwe mpole, sasa kajichongea kuwa hakukukuta na home hakurudi, sijui kalikuwa kanafeel Nigerian wapi!!
 
Utaumia ndiyo na hasira tele lakini kuangusha chozi Hmmmm! ila binadamu tunatofautiana.
Binadamu tunatofautiana sana, ukimshangaa huyo mtoa chozi utakutana na anayejiua kabisa!!
 
Hivi unajisikiaje kuwapakazia wanaume namna hii?? Mwwanaume utaliaje sababu ya K?? K kitu gani bhana?? Mbona mbuzi anaianika mchana kweupe tena na kamkia anakibinua juu muiangalie mtakavyo???

@#$%%**%... espy unaona hii shuguli umeleta, haki nimepigwa na butwaa..LOL!
 
My dear niliagwa anakuja kwako nami ikabidi tu niwe mpole, sasa kajichongea kuwa hakukukuta na home hakurudi, sijui kalikuwa kanafeel Nigerian wapi!!


Haha eti Nigerian. 🙂
 
Unauza sana raman ya vita nakuangalia tu

Labda hujamchunguza Asprin kwa umakini, jamaa anafanya viproject vingi vidogo vidogo nje ya ile project kubwa, halafu hata hatushirikishi, kila nikipita kuomba data mahali naambiwa tulishampa mzee, halafu ukiangalia kwenye ripoti huwaoni wale watu kwenye sample list.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom