Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Yaani na Kaboom angekuwa hivi nahisi ningekuwa na watoto 8 now, ila doooh!! Pasua kichwa yule mwanaume!!

Wanaume inabidi wajitahidi tu wawe kama huyu ili warejeshe amani duniani. It begins with them.


Watoto 8...lol!
Kwa kweli wajitahidi, mwanaume kama huyu ni adimu sana sasa. Sio wa kawaida hawa.
 
Haikuwa ridhiki yake kwa kweli ridhiki yake IPO kwa mwanamke mwingine huyo hakuwa wake hata angemuoa basi ndoa isingedumu
Hivi ni ridhiki au riziki!!

Kwakweli wa kwake atampata tu kwa wakati sahihi.
 
Sisi wajanja tumeshajua lengo la kuanzisha huu uzi ni kutufahamisha una boyfriend wako aliyekutoa out na kwa hiyo wewe sio bikira.

Yani uende sehemu kupata dinner na basha wako... afu kidume msichokijua kabisa kianze kulia eti kisa mwanamke... afu kikaondoka na kidume chenzake kizembe... Sasa sisi tunajiuliza story zote hizi ulizipatia wapi wakati mwathirika usiyemjua kishaondoka na michozi yake???

Au unataka kutuambia Nifah kashaanza kumwaga michozi ya The bold

CC: Mbea mwenzio Heaven Sent na vishamba vyenzio Numbisa na emmyta

Wakurugenzi Bonny na Raimundo mkuje huku kuna mswada wa machozi unaendelea huku.

Nlikua naivutia kas embu nipe brief mzee mwenzangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom