Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,330
- 72,614
Kweli kweli kabisa na ndio sababu wengine huona mapenzi ni machungu...Kila kitu hotokea kwasababu!! Twapaswa kushukuru kwa kila jambo, japo ni ngumu.
Kiukweli wapo wanaokubaliana na matokeo ila wengine inawawia vigumu kukubali hali halisi, ndio maana utasikia mtu kajiua kisa tu penzi