kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
I think we must prioritize intentions to create legal relationships katika mapenzi ya sasa maana kuumizana kumezidi. Tukienda kisheria itasaidia sana maana atakaevunja mkataba wa uhusiano wetu itabidi alipe damages.!!
Teh!, ifike mahali watu wa sign prenuptials na viongezwe vipengele kama anaekuwa wa kwanza kukosa ndie alipe mwenzake.
espy Heaven Sent