Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Nasikitika sana wanaume wanaojinyonga kwa ajili ya wanawake ni wengi kuliko wanaume,lakini watu hawashtuki!
Moyooo sukuma damu si vingineeee[emoji444] [emoji443] [emoji446] [emoji445] [emoji442]
Mapenzi yana nguvu sana.
 
Hata mm nilimuachaga MTU nikaolewa kimya kimya alipojua alilia sana hadi aliumwa kichwa so man mwaminifu huwa anapenda kikweli kweli
Hope wewe mambo hayajakuendea kombo huko ulikoolewa, maana huwa tunaaminishwa kuwa karma is a biach!!
 
we endeleza mapenzi ya kulialia ndugu yangu siku utawajua hao watu! Kwani familia ndio kigezo cha upendo,wenyewe wanasemaga shetani anawapitia!
Hujanijibu swali langu...
halafu pia je hoja ya msingi hapo kwenye huo mkasa ni kulia ? Ndo hoja ya msingi uliyoiona?
Na pia kwa statement yako familia sio upendo? Wewe huipendi familia yako?? Baba yako, mama yako, kakaa zako wadogo zako...ndugu zako, mke wako ama watoto wako...
ok nauliza tena,hoja ya msingi katika huo mkasa wa kweli aliouleta mwenzetu je ni KULIA????
 
Anza kuwaandaa watu humu kisaikolojia maana vithread vya ushauri havitakuisha. Sumu ntakuwa makini usije niletea mikesi mimi
Ukinizingua sifungui thread, nakupa adhabu moja mubasharaaaa.
 
Back
Top Bottom