aaaghhh wap wasema hivyo kubisha 2, kuna lifamba limoja lilidhani litanichuna kirahis lyk namtongoza ananiambia oh nina bf nikakaza zaid nikamwita aje home (nia yangu akija nimgegede) mara oh nipo busy..nikampotezea full, baada ya mwaka tukakutana by coincidence alivoniona tu nikaona demu keshaanza niletea shobo nikajisema kichwan hapa kuna mawili aidha ana hamu ya lupembe au anataka kunichuna hela, nikajifanya mjinga nione itakuwaje nikaomba namba tena..kwenye kuchat chat akaniomba nikitoka mjini nimletee zawadi nikajisemea alaas wale walee, nikamwambia sipo home, kesho ukija home utaikuta zawadi yako, akanijibu na kunchekea kinafiki mara oh ntakuja bhana ww niletee sahiv, mm nkamjib ucjal ww njoo utaikuta..bhana wee ndo tangu cku hiyo hakupokea simu yangu wala kujibu sms yangu na hajawah wasiliana tena na mm, walahi niliambulia kumshika tako tu nasubiria sahiv atakuja na gia gani kwangu.
Assume i was a good man je huyo mwanamke utasema ana mapenzi ya dhat na mm?? kweli tuache unafiki, ningekuwa a good man angeniumiza sana kihisia
espy